Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

255 (two five five, ipo karibu na chuo cha RUCU), Holiday (uende ukiwa umeshavaa Ndom), VIP (ipo pembeni ya 255), Shooters (kama unapenda kuona wazungu), Dragon, 3 in 1 (three in one) n.k wengine watajazia
Hapo kwa wazungu nadhani patanifaa zaidi, naweza bahatisha pisi kali ya kigeni 😀😀
 
Kwa vijana wapumbavu kma wewe bora bandarini ichukuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…