Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

255 (two five five, ipo karibu na chuo cha RUCU), Holiday (uende ukiwa umeshavaa Ndom), VIP (ipo pembeni ya 255), Shooters (kama unapenda kuona wazungu), Dragon, 3 in 1 (three in one), la parte n.k wengine watajazia
Ndom muhimu mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dj nas alikupora manzi mkuu???ulimla tena huyo manzi baada ya kutoka na nas??kama ulimla basi kapime cos jamaa mapeeeeema,kawaka...eddo buana ni mkurugenzi wa ebony fm iringa so ni mmoja wa maboss hapa town
ingawa naye aliwahi kumpora demu q chillah(tutaonana wabayaaaaaa)unakumbuka ule wombo eeeh??sasa kama q chillah naye alimla huyo demu baada ya kumalizana na eddo basi naye atakuwa kawaka cos eddo naye tayari mapeemaa.
 
Dah..kuna haja ya kurudi Iringa niji-"orient"..It used to be my home back then. Enzi za Makosa Cats,Bottoms up...hazipogi tena mkuu?
 
Yani aende Essence?
 
Chain hiyo hatari 🙌
 
Dah..kuna haja ya kurudi Iringa niji-"orient"..It used to be my home back then. Enzi za Makosa Cats,Bottoms up...hazipogi tena mkuu?
Kinachonishinda Iringa ni baridi lake tu.

Juzi nilipita hapo Royal club baada ya Miami kuwa imefungwa.

Vibe kama lote maana madent kama wote maana ilikuwa weekend ya Ijumaa
 
Vibe kama lote maana madent ilikuwa weekend ya Ijumaa
Poa sana. Ntaenda Ir/viwanja hivyo kabla ya mwaka kuisha inshaaalah. Huo ubaridi ndio huwa tunaufuata mkuu
 
Naomba kuuliza wakuu hivi Dar to Iringa ni masaa mangapi?

Na je ni bus gani linatembea fresh (lenye Safari) yaani chap kwa haraka na sio kufika giza,

Natarajia kusafiri soon?
 
Ally said ndo pendwa kidogo japo zinatembea mda mrefu Dar ikitoka saa moja iringa hufika saa kumi jioni pia newforce ameanza safari nae ya Dar to Iringa unawez lijaribu pia
 
Kinachonishinda Iringa ni baridi lake tu.

Juzi nilipita hapo Royal club baada ya Miami kuwa imefungwa.

Vibe kama lote maana madent kama wote maana ilikuwa weekend ya Ijumaa

Sema royal wahudumu ni wez kinoma kupandisha bei za vinywaji ni kawaida sana
 
Fahari ya Iringa ni nini??

Kwa mfano mtu akienda Tabora atabeba Asali, akienda Mtwara atabeba Korosho na mfano kama huo kwa mikoa mingine,

Je iringa ni nini utambulisho au zawadi naweza beba na kujivunia nimetoka iringa?
 
Ally said ndo pendwa kidogo japo zinatembea mda mrefu Dar ikitoka saa moja iringa hufika saa kumi jioni pia newforce ameanza safari nae ya Dar to Iringa unawez lijaribu pia
Inamaana gari ya kwanza ya Dar --Iringa inaanza kuondoka saa moja?

Hakuna zinazowahi kutoka labda mida ya saa 11 alfajiri au 12 kamili juu ya alama ili kuwahi kufika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…