Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Miami kwasasa imefungwa kwasabau ya ukarabati lakini kwa pembeni kidogo kuna chuma kingine kimefungulia hivi karibuni kinaitwa loyal tour kipo viwanja vya samora hakika hutojutia kufika pale .
 
Miami ishafunguliwa since wiki ya Jana mkuu. Ila vibe limepungua coz kuna raia alipigwa na mabaunsa akafa . It wasn't ukarabati as such .. walikua wanatuliza mambo
 
Hapo hapo town Kuna kijiwe kinaitwa utulivu mwembe togwa,pale utapata Hadi wale wa afu 3,supu safi ya bobi,na yokozuna za kushato.
 
Shida ya Iringa ni uhaba wa madem, ila kwa viwanja huwa napenda kukaa WarmUp (Zamani palijulikana kama shooters) atleast kuna vibe standard, ila kiwanja cha Miami huwa naona hakina tofauti sana na Lambo bar ya manzese. Kitimoto huwa natafuna kwa geofrey hapo vibanda vya Ccm. Mji wa Iringa una hali ya hewa nzuri
 
Kwa leo nimeenda warmup, miami,royal lakini mazingira si rafiki, nikaishia pale ccm kula mdudu na mvinyo, kwa summary naona pale penye mdudu ndio pako poa kiasi.
Kwa ujumla, ukanda huu hakuna pisi kali.
 
Ukanda wote wa nyanda za juu kusini na mikoa yote ya kusini ni takataka, nachukia sana hii serikali kunipeleka huko ni sawa na kunipeleka jehanam, naomba tu Mungu aninusuru na huku.
 
Back
Top Bottom