Ile family [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba Yao late Captain Mazula tangu nimemfahamu Mzee huyu late 80s hadi anafariki alikuwa anatumia Volvo tu.
HaswaaaaKama umejaaliwa viJisenti ogopa sana kukaa maeneo kama hayo, usalama unakuwa mdogo sana. Unaweza kukabwa getini kwako.
hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii inatokana na picha mbaya waliyojengewa wakuja[emoji3][emoji3]We vipi kwani tunazungumzia mambo ya utajiri humu?!
Majani mtu wa ma katalogi long time nakumbuka tulikuwa tunaenda studio yake Masaki long time.nimekupata mzeee nitaagiza online.rafiki yako p funk majani naye huwa anasema huwa anachukua mizigo O.G kutoka U.S anasema yeye hatumii midosho ananunua viatu vilivyovaliwa na mastaa kama fat joe
Kwa bongo nilirudi likizo na mazagazaga kibao.Unajua yale ya kujua kutakuwa na watu bwena na kila mtu apate japo kizawadi cha ukumbusho.mzee nasikilizia kuja USA hivi nikinunua nguo za kutosha na viatu kama mabegi ishirini hivi watacharge kodi?? huwa hawaleti magumashi kuingiza mizigo mikubwa??
so ikawaje mwisho wakeKwa bongo nilirudi likizo na mazagazaga kibao.Unajua yale ya kujua kutakuwa na watu bwena na kila mtu apate japo kizawadi cha ukumbusho.
Hapo sijakanyaga Bongo mvua 10. Siwezi kurudi mikono mitupu.
Nilivyokuwa nawasomesha airport wanajifanya hawaelewi somo, wanasema eti mimi mfanyabiashara, mizigo yote hii haiwezi kuwa zawadi.
ulikuwa mwana hip hop na wewe enzi hizo?Majani mtu wa ma katalogi long time nakumbuka tulikuwa tunaenda studio yake Masaki long time.
Inatgemea na vigezo unaweza kupata $200 mpaka $3000.computer hizi desktop na laptops huko ni kiasi gani?
Kinondoni shamba ndipo nmekulia DahUmenikumbusha Ada estate na Kinondoni shamba! Uzunguni na Uswazi inayotenganishwa na mtaa mmoja. Upande mmoja Ada estate,upande wa pili Kinondoni shamba. Mtaa huu unaanzia Tunisia road na kuendelea Baifra,Hombuz hadi Mwananyamala!
Nilikuwa sitaki usumbufu watu walikuwa wananisubiri kunipokea sijaonana nao miaka 10, nikatoa $100 kumaliza ubishi.so ikawaje mwisho wake
got you.thank you for infos.kuna mambo pia ntakuwa nakuuliza nkifika USANilikuwa sitaki usumbufu watu walikuwa wananisubiri kunipokea sijaonana nao miaka 10, nikatoa $100 kumaliza ubishi.
Tangu enzi za Yo! Rap Bonanza, za marehemu Kim Mgomelo. Enzi za Adili Kumbuka. Enzi za Weusi Wagumu Asilia. Dar Young Mob kabla Too Proud hajajiunga kutoka Mbeya. Enzi za Don Bosco, Soundcrafters na Mawingu.ulikuwa mwana hip hop na wewe enzi hizo?
Haina noma, tuwasiliane.got you.thank you for infos.kuna mambo pia ntakuwa nakuuliza nkifika USA
vipi huko unahudhuria shows za kina Rakim na Krs One??Tangu enzi za Yo! Rap Bonanza, za marehemu Kim Mgomelo. Enzi za Adili Kumbuka. Enzi za Weusi Wagumu Asilia. Dar Young Mob kabla Too Proud hajajiunga kutoka Mbeya. Enzi za Don Bosco, Soundcrafters na Mawingu.
Back in the days.
Sema watoto wa Kinondoni shamba na ada estate/Oysterbay walikuwa na uhusiano mzuri enzi zile.Kinondoni shamba ndipo nmekulia Dah
Ada ilikuwa tunaenda sana kuwachangamsha watoto
Huko
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu virtual world ain't real world , mwenzetu kiranga ana touch ya real world , akitaka nguo kwa mfano anaenda Nike out let anasoma catalogue na kuchagua nguo au kiatu anachokitaka kwa ukatibu na usahihi kabisa , ana uwezo hata kuzitoa out of the cart items amabzo baada ya kuziona kiuhalisia hazikidhi vigezo , mf labda umeiona fulana nzuri kwenye mtandao lakini baada ya kwenda dukani kuziona na touch unagundua fabric composition sio type yako.Dunia ipo kiganjani mwako. Hayo maduka makubwa ya majuu unaweza kununua online ingawa kuna mengine utakutana na kikwazo hawatumi Tz ila unapata wanatuma Tz. Au tumia watu.
Hili ndio inakera zaidi , unanunua. shati kwa 25000 ,ukifua Mara moja tu tayari limepoteza nusu ya ubora wake ! Imagine , ndipo hapo unapiga hesabu no bora ununue shati hata Bei ghali lakini lidumu ,Miaka ya nyuma kulikuwa na duka la cadburys pale kariakoo , jamaa alikuwa analeta nguo classic kweli kweli , niliwahi kununua t shirt nikazitumia karibu Miaka minne baada ya kuzichoka, nikamuuzia mtu mbeya naye akaziuza Kama mtumba.,Ukienda K/koo kununua suruali za cardet kuna za 22K - 25K na 35K. Wanadai hizi za 35K ndio original ila ukifua mara 5 Hamna kitu. Bongo usanii mwingi hasa wahindi
🤣🤣Inategemea unanunua wapi na kama kuna sale.
Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.
Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.
Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.
Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.
Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry school
Kulikuwa na wakina d.luena,j.mbwire watoto fulani pia wa Ada Estate....mpk anakwenda states kulikuwa na mawasiliano ....kiukweli ule msiba wake uligusa sana watu .....na hakustahili unyama huo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app