Hata sinza nyumba nyingi zimetitia. Sinza ya sasa haivutii hataNyumba ninazozungumzia zipo maeneo mengi kama kinondoni,magomeni,ilala,mwananyamala ukiziangalia zimekuwa fupi sana.
Hata sinza nyumba nyingi zimetitia. Sinza ya sasa haivutii hataNyumba ninazozungumzia zipo maeneo mengi kama kinondoni,magomeni,ilala,mwananyamala ukiziangalia zimekuwa fupi sana.
Mkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-Mkuu virtual world ain't real world , mwenzetu kiranga ana touch ya real world , akitaka nguo kwa mfano anaenda Nike out let anasoma catalogue na kuchagua nguo au kiatu anachokitaka kwa ukatibu na usahihi kabisa , ana uwezo hata kuzitoa out of the cart items amabzo baada ya kuziona kiuhalisia hazikidhi vigezo , mf labda umeiona fulana nzuri kwenye mtandao lakini baada ya kwenda dukani kuziona na touch unagundua fabric composition sio type yako.
Hizi za kuagizia nimefanya nikiwa bongo , nilikutana na changamoto kadhaa , Cha kwanza kabisa wabongo kwa kiuhalisia hatujui tunataka Nini, labda uone kitu kwa mtu then nawewe uagize Kama hicho , hali ni mbaya zaidi Kama utaagiza kutoka china maana huko Kuna changamoto ya size pia , shati unaagiza XXL likija hapa hata mtoto havai!, Hapo ushatumia zaiid ya mwezi kusubiri
Kingine mwenzetu ana access na sales in real time ,na Kama umemsoma vizuri kiranga he is very smart at it , ukinunua items za majuu kuja bongo Kuna limitations kibao ambazo huchangia Bei kuongezeka ,
Mambo ni mengi
Nini kilitokea kwa huyo jamaa?Acha tu Brother
Inasikitisha sana,
Missus anawajua sana pia ndio alinitonya kuhusu hii, nilisikitika sana na jinsi nikumbuka Brian
Missus anasema walienda UG na kaka zake kuanza shule wametoka TZ, wameenda wakiwa darasa la tano , kina Mazula's wako Secondary ndio walikuwa waliwakaribisha na kuwacheki hapa na pale kama wako poa na kila siku anasema lazima walikuwa wakwenda kuwaangalia kama wako poa
Alivyonipa hii strori mbeleni hakuamini kama namjua Brian kwa sana.
Kunduchi mtongani ,lkn hata mtoni mtongan pia Kuna Bahar nyuma kule inayotenganisha na kijichi, sema tu hakuna mazingira mazuri ya beachKunduchi mtongani sio mtoni mtongani
Mkuu kwanza hongera !! I can smell new sneakers !!! I envy you!!!Mkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-
Umeona visu sasa hvyoMkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-
Wengi tulikutana mashuleni na kwenye mmbo ya kipa imara st Peters.....nakumbka nlikuwa sina uwezo wa kununua nguo ya kipa imara kna mashuwa mmja mtoto wake tulikuwa marafiki Dah mashuwa alininunulia nguo,viatu Dah sijasahau hyo mpk leoSema watoto wa Kinondoni shamba na ada estate/Oysterbay walikuwa na uhusiano mzuri enzi zile.
Noma sana....Acha tu Brother
Inasikitisha sana,
Missus anawajua sana pia ndio alinitonya kuhusu hii, nilisikitika sana na jinsi nikumbuka Brian
Missus anasema walienda UG na kaka zake kuanza shule wametoka TZ, wameenda wakiwa darasa la tano , kina Mazula's wako Secondary ndio walikuwa waliwakaribisha na kuwacheki hapa na pale kama wako poa na kila siku anasema lazima walikuwa wakwenda kuwaangalia kama wako poa
Alivyonipa hii strori mbeleni hakuamini kama namjua Brian kwa sana.
Kuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa NyerereWengi tulikutana mashuleni na kwenye mmbo ya kipa imara st Peters.....nakumbka nlikuwa sina uwezo wa kununua nguo ya kipa imara kna mashuwa mmja mtoto wake tulikuwa marafiki Dah mashuwa alininunulia nguo,viatu Dah sijasahau hyo mpk leo
Huyo mzee alikuwa balozi kipindi hcho alikuwa anaishi Ada Estate....Gari aliyokuwa anatumia ni Benz alafu Benz zake zote akichukuaga ni special order
Ova
Walter(RIP) na Girlfriend wake Vonetha(RIP) walikutwa wamepigwa risasi, with no clues who did it until todayNini kilitokea kwa huyo jamaa?
Kifo chake kilikuwaje?
Watu good time kitambo sanaKuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa Nyerere
Kuna moja niliambiwaga nili blowWalter(RIP) na Girlfriend wake Vonetha(RIP) walikutwa wamepigwa risasi, with no clues who did it until today
Kuna tetesi nyingi lakin ni dead end.
Hivi pale kwa mama ps wapo badoKuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa Nyerere
Nakumbumka miaka hiyo early 90s, tunakaa Upanga, kuna rafiki yangu kona ya Mindu na Mathuradas, alikuwa anasoma Olympio P/SMiaka ya 90 watoto wanakwenda nje for holiday
Mtu kama twisa kitambo sana good timeNakumbumka miaka hiyo early 90s, tunakaa Upanga, kuna rafiki yangu kona ya Mindu na Mathuradas, alikuwa anasoma Olympio P/S
Kuna wakati wa likizo ya shule, kina sisi tupelekwa mkoa kuwaoana babu na bibi,
Wao family nzima wanaenda Europe roud trip nchi zote , France 1 week, Germany 1 week, UK 1 week , akirudi tunapigiwa stori na chocolate kibao zawadi. Duuh!
Ni kweli babu, walikuwa mazulas wapole sanaKuna moja niliambiwaga nili blow
Ila kwa wenzetu wale inawezekana
Ila jamaa Walter alikuwa hna ttz na mtu
Alikuwa cool sana hakuwa na sifa za ukorofi
Ingekuwa wakina ss Sawa maana enzi zetu tulijulikana kwa utundu
Ova
Niliipata hiyoNi kweli babu, walikuwa mazulas wapole sana
Sijui kama unamjua Ray Kapalata(RIP), alikuwa US nae, lakini ni ndio hivyo kuwa ubingwa bingwa, ilikuwa wabongo kwa wabongo
Suspect akakimbilia kurudi bongo nasikia.
Ray si alikuwa anakaa tabataNi kweli babu, walikuwa mazulas wapole sana
Sijui kama unamjua Ray Kapalata(RIP), alikuwa US nae, lakini ni ndio hivyo kuwa ubingwa bingwa, ilikuwa wabongo kwa wabongo
Suspect akakimbilia kurudi bongo nasikia.