Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Bila wao kuwepo na wewe kuwaona ukacheka, sidhani kama ungeliweza kujiclassify kwenye daraja tofauti nao.......ni kwa sababu ya wao ndo maana nawe unajiona wa tofauti.Jifunze kuheshimu kila mtu ktk dunia ambayo unaweza kuwa kitu chochote kile bila kutarajia.
 
honestly i never met walter (rip)
ndio sababu
i always fikiria brian ni younger
Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry school
Kulikuwa na wakina d.luena,j.mbwire watoto fulani pia wa Ada Estate....mpk anakwenda states kulikuwa na mawasiliano ....kiukweli ule msiba wake uligusa sana watu .....na hakustahili unyama huo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha Ada estate na Kinondoni shamba! Uzunguni na Uswazi inayotenganishwa na mtaa mmoja. Upande mmoja Ada estate,upande wa pili Kinondoni shamba. Mtaa huu unaanzia Tunisia road na kuendelea Baifra,Hombuz hadi Mwananyamala!
 
Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry school
Kulikuwa na wakina d.luena,j.mbwire watoto fulani pia wa Ada Estate....mpk anakwenda states kulikuwa na mawasiliano ....kiukweli ule msiba wake uligusa sana watu .....na hakustahili unyama huo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Baba Yao late Captain Mazula tangu nimemfahamu Mzee huyu late 80s hadi anafariki alikuwa anatumia Volvo tu.
 
Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3
 
timbs na airforce ulikuwa unanua sh.ngapi O.G maana vunja bei naona wananichanganya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inategemea unanunua wapi na kama kuna sale.

Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.

Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.

Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.

Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.

Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
 
Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3
Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3
Sio hawa. Hawa Baba Yao alikuwa rubani. Hadi wanaenda USA walikuwa wanaishi Oysterbay.
 
Inategemea unanunua wapi na kama kuna sale.

Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.

Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.

Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.

Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.

Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maana
Imagine tunategemea kupata nguo classic kutoka kwenye mitumba, ukipata Kali leo inaweza kupita miezi ndo ubahatishe tena , huko first world outelst zinajinadi how many size and colours they have of Tommy Hilfiger heat gear !!!
The world is not fair kwa kweli
 
Wajanja hawavai nguo za huko
Zamani kinondoni kuna jamaa alikuwa na duka joes up to date wear quality toka usa
Mambo ya fubu,Damian dada etc
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
duka gani la nguo kali unalikubali hapa mjini?
 
Wazaramo asilimia 95 ndio wanaishi uswahilini choka mbaya.
Asset kubwa kwao ni madera,uchawi na majini.

Asilimia 90 ya vibaka wa dar ni wazaramo.

Shule kwao ni tusi.
duu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unataka ugomvi na wazaramo
 
Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maana
Imagine tunategemea kupata nguo classic kutoka kwenye mitumba, ukipata Kali leo inaweza kupita miezi ndo ubahatishe tena , huko first world outelst zinajinadi how many size and colours they have of Tommy Hilfiger heat gear !!!
The world is not fair kwa kweli
Dunia ipo kiganjani mwako. Hayo maduka makubwa ya majuu unaweza kununua online ingawa kuna mengine utakutana na kikwazo hawatumi Tz ila unapata wanatuma Tz. Au tumia watu.
 
Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maana
Imagine tunategemea kupata nguo classic kutoka kwenye mitumba, ukipata Kali leo inaweza kupita miezi ndo ubahatishe tena , huko first world outelst zinajinadi how many size and colours they have of Tommy Hilfiger heat gear !!!
The world is not fair kwa kweli

Ni vijimambo tu.

Wadogo zangu huwa wanakuja huku kila mwaka, mwaka huu tu hawajaja kwa sababu ya Corona. Huwanawapeleka shopping wananunua wanavyotaka, nikiwauliza kwanini hamunui Bongo, wanasema Bongo magumashi mengi, halafu selection ndogo.

Najua unachosema.Kizuri kula na nduguzo. Nilikuwa napanga kutuma pipa kubwa home lenye mazagazaga kibao, mara paap, nikaambiwa Corona imeweka restrictions nyingi. I am revisiting this niwatumie nguo, viatu, vi computer computer hivi na mazagazaga tele watu wajibwede kama wana kaka mkubwa Marekani nao.

Nchi ikipunguza kodi na kuweka ufanisi kwenye mifumo ya Posta watu wasibiwe kijinga watu watatuma sana mizigo.Sasa hivi unaweza kumtumia mtu zawadi, halafu hiyo kodi tu atakayopigwa inakuwa umempa mzigo mkubwa.
 
Ukienda K/koo kununua suruali za cardet kuna za 22K - 25K na 35K. Wanadai hizi za 35K ndio original ila ukifua mara 5 Hamna kitu. Bongo usanii mwingi hasa wahindi
 
Inategemea unanunua wapi na kama kuna sale.

Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.

Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.

Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.

Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.

Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
nimekupata mzeee nitaagiza online.rafiki yako p funk majani naye huwa anasema huwa anachukua mizigo O.G kutoka U.S anasema yeye hatumii midosho ananunua viatu vilivyovaliwa na mastaa kama fat joe
 
Ni vijimambo tu.

Wadogo zangu huwa wanakuja huku kila mwaka, mwaka huu tu hawajaja kwa sababu ya Corona. Huwanawapeleka shopping wananunua wanavyotaka, nikiwauliza kwanini hamunui Bongo, wanasema Bongo magumashi mengi, halafu selection ndogo.

Najua unachosema.Kizuri kula na nduguzo. Nilikuwa napanga kutuma pipa kubwa home lenye mazagazaga kibao, mara paap, nikaambiwa Corona imeweka restrictions nyingi. I am revisiting this niwatumie nguo, viatu, vi computer computer hivi na mazagazaga tele watu wajibwede kama wana kaka mkubwa Marekani nao.

Nchi ikipunguza kodi na kuweka ufanisi kwenye mifumo ya Posta watu wasibiwe kijinga watu watatuma sana mizigo.Sasa hivi unaweza kumtumia mtu zawadi, halafu hiyo kodi tu atakayopigwa inakuwa umempa mzigo mkubwa.
mzee nasikilizia kuja USA hivi nikinunua nguo za kutosha na viatu kama mabegi ishirini hivi watacharge kodi?? huwa hawaleti magumashi kuingiza mizigo mikubwa??
 
Ukienda K/koo kununua suruali za cardet kuna za 22K - 25K na 35K. Wanadai hizi za 35K ndio original ila ukifua mara 5 Hamna kitu. Bongo usanii mwingi hasa wahindi
nimegundua now ujanja ni kununua nje USA au Dubai bongo miyeyusho sana
 
Ni vijimambo tu.

Wadogo zangu huwa wanakuja huku kila mwaka, mwaka huu tu hawajaja kwa sababu ya Corona. Huwanawapeleka shopping wananunua wanavyotaka, nikiwauliza kwanini hamunui Bongo, wanasema Bongo magumashi mengi, halafu selection ndogo.

Najua unachosema.Kizuri kula na nduguzo. Nilikuwa napanga kutuma pipa kubwa home lenye mazagazaga kibao, mara paap, nikaambiwa Corona imeweka restrictions nyingi. I am revisiting this niwatumie nguo, viatu, vi computer computer hivi na mazagazaga tele watu wajibwede kama wana kaka mkubwa Marekani nao.

Nchi ikipunguza kodi na kuweka ufanisi kwenye mifumo ya Posta watu wasibiwe kijinga watu watatuma sana mizigo.Sasa hivi unaweza kumtumia mtu zawadi, halafu hiyo kodi tu atakayopigwa inakuwa umempa mzigo mkubwa.
computer hizi desktop na laptops huko ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom