Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
timbs na airforce ulikuwa unanua sh.ngapi O.G maana vunja bei naona wananichanganya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Za kila rangi mkuu, mpaka Timbs nyeupe za "All White Party".
timbs na airforce ulikuwa unanua sh.ngapi O.G maana vunja bei naona wananichanganya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Za kila rangi mkuu, mpaka Timbs nyeupe za "All White Party".
Wajanja hawavai nguo za huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi ni midosho ile
We unaishi magomeni ya wapi au wakujaPazi ndo nani?
Huko ndo sijui kwa kina Tony Kafipa, miaka hiyo
Ni kweli wengi ni wakuja. Wazawa ni wazaramo tu
Siku moja nilimsema dada mmoja Manka anawaponda Wazaramo wanapenda kucheza ngoma. Nikamwambia wao wapo kwao, na starehe zao na mambo yao, na culture yao unalalamika nini? Umepoteza sh ngapi kwa wao kucheza ngoma zao? Jibu hana.Wakuja mna shida sana, watu mmewakuta na maisha yao mnawaona duni eti wahame au kuwauzia nyie! Kwanini nyinyi wa hali ya juu msiende kuanzisha makazi yenu ya watu wa juu?
Sawa sawa naikumbka Antony kafipa Sema sikuwa na story naye kivile ila walikuwa Ada EstateHuko ndo sijui kwa kina Tony Kafipa, miaka hiyo
Mtoto mmja alitusumbua sana baba yke alikuwa bandari MD wakati huojanguo ndo nini?
Kama wanataka maeneo hayo wawape dau zuri watahama mbn watu wenye nyumba zilizopo Ali hasan mwinyi kuanzia moroko kwenda Victoria wengi wameuza wamechkua zaidi ya bln 3Wakuja mna shida sana, watu mmewakuta na maisha yao mnawaona duni eti wahame au kuwauzia nyie! Kwanini nyinyi wa hali ya juu msiende kuanzisha makazi yenu ya watu wa juu?
Ulikuwa unamjua W.mazula (rip)Huko ndo sijui kwa kina Tony Kafipa, miaka hiyo
Dah!Ulikuwa unamjua W.mazula (rip)
Ova
14 years already? Kweli siku hazigandi. Ile kesi sijawahi kuisikia tena; wale Niggers wa Detroit wabaya sana.Dah!
Umenikumbusha mbali.
Sijafuatilia tena yale mauaji yake na mpenzi wake...
“Niggers” wa Detroit wamefanyaje? Ndo waliofanya mauaji? Kama ndo waliofanya mauaji, wewe umejuaje?14 years already? Kweli siku hazigandi. Ile kesi sijawahi kuisikia tena; wale Niggers wa Detroit wabaya sana.
Siku zinakimbia.Dah!
Umenikumbusha mbali.
Sijafuatilia tena yale mauaji yake na mpenzi wake.
I need to holla at my boy Brian and find out...damn!!!
Miaka 14 sasa ishapita tokea hiyo dhahma.
Fake hizo. Tims OG ukiconvert kwenye Tzs hununui!timbs na airforce ulikuwa unanua sh.ngapi O.G maana vunja bei naona wananichanganya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo mama RIP.Kuna watu waliuza nyumba along Ali hassan mwinyi kutokea moroco kwenda Victoria watu waliuza mpk bln 4 mzee waliwapisha watu wajenge magorofa.
Mimi nina ushahidi wa mama mmoja tena mtoto wake mmja alikuwa miss tz aliuza sehemu hyo bln 4 . kadhaa akasepa ktk hela hyo alinunua nyumba 5
Ova
£160ni sh.ngapi
Noma walifanywa kitu mbaya sanaDah!
Umenikumbusha mbali.
Sijafuatilia tena yale mauaji yake na mpenzi wake.
I need to holla at my boy Brian and find out...damn!!!
Miaka 14 sasa ishapita tokea hiyo dhahma.
Hahaha we mmbaya ushamnusaHuyo mama RIP.