Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Linganisha nyumba za mikoani za makazi na nyumba za kinondoni, msasani, mazenze, mbagala, kiwalani, linganisha na ulaji pia uone nani ana dhiki
Unalinganisha ujenzi wa Dar na mikoan?

Una utani wa ngumi.
 
Unalinganisha ujenzi wa Dar na mikoan?

Una utani wa ngumi.
Achana nae huyo ana ubishi wa sekondari.
Huko mikoani wanajengea tofali za kuchoma zinajengewa na udongo cement wanaweka juu baada ya renta
 
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.

Watu wamejifua sana Basketball.
Miaka yenu hiyo wengi walikwenda nje ya nchi kusaka maisha. Waliobaki bongo wachache sana mwishoni walikuwa addicts
 
Kama huyo marehemu Mzee Malai mtu wa watu sana vijana wengi waliojichanganya kwenye michezo kawasafirisha.

Si ndugu zake, kajuana nao kwenye basketball tu.

Vijana wanamwambia "Mzee tunataka kwenda kujaribu maisha Marekani, tunaomba utudhamini kutupa udhamini wa kutulipia chuo".

Mzee Malai anatoa Bank Statement kuubwa sana. Ubalozi wa Marekani wakiiangalia hawana maswali. Vijana wanaenda Marekani.

Kulikuwa na safari kemkem, kuanzia za shule mpaka za maskauti.

Enzi hizo pale Upanga ndiyo Dar es salaam na Dar es salaam ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo makao makuu ya Ukombozi wa Afrika na Brigedia Hashim Mbita tulikuwa naye kijiweni. Benzi la Benjamini Mkapa lilikuwa linatua kila siku kijiweni.

Andy Nyerere anakuja kutafsiri Dhammapada na mimi kijiweni.

Mwinyi ndiyo tumanuonesha nchi Kijiweni.

Maharage hapo check bob kabla hajawa balozi, kijiweni.

Ben Mashiba hapo Presidential Unit kabla hajawa balozi kijiweni.

Matiku hapo daladala ikimchomekea tu anatoa bastola kwenye Jeep yake, kabla hajawa balozi, kijiweni.

Mzee Mahiga yupo Canada na Switzerlqnd anatutumia viwalo na Swiss chocolate tupo kijiweni.

Membe hajulikani nani hapo kijiweni. Magufuli hajulikani nani.Kikwete ndiyo kwaanza anaanza ku register baada ya kuwa introduced na Dim kijiweni.

Galinoma anarudi kutoka Harlem, kijiweni.

Nisiwataje sana mabalozi wangu siku zao kabla hawajawa mabalozi.

Nisimwage kuku kwenye mchele mwingi.
 
*****,

Salute to you born town brother
 
Duuh!
Nimefatilia mtiririko wako na wa Mrangi, hata sijui nianzie wapi
Yaani mmenijkumbusha mbali sana, daah kweli nimezeeka
Miaka hiyo kuanzia Upanga late 80s Mtaa wa Mindu, Jack Pemba mtoto mdogo brazameni wa kuzamia harusini, kaka yake Chuche ndio Mwamba wa Local Gyms. Kaka Mkubwa walikuwa wanamuita Terrorist ndio Gangster wa miaka hiyo na kijiwe chao INDIANA.

Tukija Don Bosco, yaani ukitoka tu shule, jioni upo ndani Football na kina watoto wa Mazyuni na kina Natepe
Basketball kina Maro, biotto , Mchungaji Ngomba, Papii
Coach Evarist, Coach Manase tunakipiga nao wote
Dj Kilosa anapiga misele na kandambili tu mitaani
Watoto wa kihindi na magari ya mashindano misele sana kuzungusha vi beetle LOVEBUG
Kijijini Upanga Tambaza kama unapajua mpaka leo vilevile

Kwenye mashindano brazameni Kolumba anasoma Azania akidanki nishangwe na makelele, Kina Kibo na Tyson wa Tambaza
Mashindano ya Don Bosco, kina sisi tulikuwa na vi fake All Star vya mtumba , Kina Janguo , Eric Mwenda, Marehemu Mpoki na Nigga one wana Original Nike Air Jordan.

Mara Mzee kapata promotion kazini, tumehamia Haile Sellasie road, miaka hiyo, ya Kina Rob D, Nigga one mtaani
Mzee wa watu Mzee Malai, nimecheza sana Basketball kwenye half court yake na kina Mazula na Warioba, halafu tunaenda kuomba mechi na watoto wa IST
Aliwapeleka PAZI wote US miaka hiyo, wote wakarudi wengine bado choka mbaya bongo,

mrangi anaielewa sana mitaa, Miaka hiyo UDA ni moja kwenda Masaki, mara Mzee Tryphon Maji huyu hapa na kIBIBI​

Haile Sellasie Road sasa ni kama Uswahili mara ya mwisho nimepita, vibaa na restaurant kibao, miaka hiyo ni Oysrebay kweli, watu wakizuzura wanaonekana kabisa wamepotea mitaa, Kimyaaaa
 
Enzi zile safari za summer camp michongo watu walikuwa Wanapeana Vijana wengi walisafiri nje
Wengine ndiyo walikula kona huko Wengine walirudi
Ndomana zamani lazima ujichanganye don Bosco youth clubs,scout,au vikundi vya roots&shoots
Ili ujue mipango inakwendaje
Kuhusu mzee malai acha kabisa alikuwa na roho ya kipekee sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Duuh!
Nimefatilia mtiririko wako na wa Mrangi, hata sijui nianzie wapi
Yaani mmenijkumbusha mbali sana, daah kweli nimezeeka
Miaka hiyo kuanzia Upanga late 80s Mtaa wa Mindu, Jack Pemba mtoto mdogo brazameni wa kuzamia harusini, kaka yake Chuche ndio Mwamba wa Local Gyms. Kaka Mkubwa walikuwa wanamuita Terrorist ndio Gangster wa miaka hiyo na kijiwe chao INDIANA.

Tukija Don Bosco, yaani ukitoka tu shule, jioni upo ndani Football na kina watoto wa Mazyuni na kina Natepe
Basketball kina Maro, biotto , Mchungaji Ngomba, Papii
Coach Evarist, Coach Manase tunakipiga nao wote
Dj Kilosa anapiga misele na kandambili tu mitaani
Watoto wa kihindi na magari ya mashindano misele sana kuzungusha vi beetle LOVEBUG
Kijijini Upanga Tambaza kama unapajua mpaka leo vilevile

Kwenye mashindano brazameni Kolumba anasoma Azania akidanki nishangwe na makelele, Kina Kibo na Tyson wa Tambaza
Mashindano ya Don Bosco, kina sisi tulikuwa na vi fake All Star vya mtumba , Kina Janguo , Eric Mwenda, Marehemu Mpoki na Nigga one wana Original Nike Air Jordan.

Mara Mzee kapata promotion kazini, tumehamia Haile Sellasie road, miaka hiyo, ya Kina Rob D, Nigga one mtaani
Mzee wa watu Mzee Malai, nimecheza sana Basketball kwenye half court yake na kina Mazula na Warioba, halafu tunaenda kuomba mechi na watoto wa IST
Aliwapeleka PAZI wote US miaka hiyo, wote wakarudi wengine bado choka mbaya bongo,

mrangi anaielewa sana mitaa, Miaka hiyo UDA ni moja kwenda Masaki, mara Mzee Tryphon Maji huyu hapa na kIBIBI​

Haile Sellasie Road sasa ni kama Uswahili mara ya mwisho nimepita, vibaa na restaurant kibao, miaka hiyo ni Oysrebay kweli, watu wakizuzura wanaonekana kabisa wamepotea mitaa, Kimyaaaa
Wakati huo sisi watoto tuliyokuwa tunakaa uswahilini
Tulikuwa tunajichanganya na watoto wa kishua
Na watoto wa kishua tulikuwa tunawaleta uswazi
Tulitengeneza netwrk fulani
Dah umenikumbusha kolumba mwingira [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kama huyo marehemu Mzee Malai mtu wa watu sana vijana wengi waliojichanganya kwenye michezo kawasafirisha.

Si ndugu zake, kajuana nao kwenye basketball tu.

Vijana wanamwambia "Mzee tunataka kwenda kujaribu maisha Marekani, tunaomba utudhamini kutupa udhamini wa kutulipia chuo".

Mzee Malai anatoa Bank Statement kuubwa sana. Ubalozi wa Marekani wakiiangalia hawana maswali. Vijana wanaenda Marekani.

Kulikuwa na safari kemkem, kuanzia za shule mpaka za maskauti.

Enzi hizo pale Upanga ndiyo Dar es salaam na Dar es salaam ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo makao makuu ya Ukombozi wa Afrika na Brigedia Hashim Mbita tulikuwa naye kijiweni. Benzi la Benjamini Mkapa lilikuwa linatua kila siku kijiweni.

Andy Nyerere anakuja kutafsiri Dhammapada na mimi kijiweni.

Mwinyi ndiyo tumanuonesha nchi Kijiweni.

Maharage hapo check bob kabla hajawa balozi, kijiweni.

Ben Mashiba hapo Presidential Unit kabla hajawa balozi kijiweni.

Matiku hapo daladala ikimchomekea tu anatoa bastola kwenye Jeep yake, kabla hajawa balozi, kijiweni.

Mzee Mahiga yupo Canada na Switzerlqnd anatutumia viwalo na Swiss chocolate tupo kijiweni.

Membe hajulikani nani hapo kijiweni. Magufuli hajulikani nani.Kikwete ndiyo kwaanza anaanza ku register baada ya kuwa introduced na Dim kijiweni.

Galinoma anarudi kutoka Harlem, kijiweni.

Nisiwataje sana mabalozi wangu siku zao kabla hawajawa mabalozi.

Nisimwage kuku kwenye mchele mwingi.
Upanga kwa wanaomkumbuka k.twisa tabia yake mpaka leo na zamani ile ile
Alafu miaka ya zamani wazee waliyokuwa vigogo ukiwa rafiki na watoto zao wakikusikia sana lazima
Wakuvute wajue kiundani kuhusu wewe

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Umenichekesha sana aisee! Ni kama Raia wa Kilimanjaro wote wawapo nje ya Kilimanjaro unapowauliza kwenu ni wap?
Wanajibu: Moshi.
Awe Mpare wa Chome, ndungu, Vudee n.k atasema Moshi.....huwa nacheka sana.
Nikagundua kuwa Mwanadamu anapenda vitu vizuri.
Huwa nikiulizwa sisemi natoka Moshi hata siku moja, coz Moshi na home ni mbali sana so siwezi kujivunia kisichostahili. Nikiulizwa nasema straight natokea Same, from there sasa akitaka kujua Same ya wapi ndio namuelekeza.
 
Na ukimkuta Mpare akiwa Moshi ujue amekuja kuuza Tangawizi za kutoka same.
 
Mimi wa kimara npo hapa cjackia jina langu
 
Na ukimkuta Mpare akiwa Moshi ujue amekuja kuuza Tangawizi za kutoka same.
Sasa ndio ushangae mtu yupo Dar anaulizwa unatokea wapi, badala ya kusema Kilimanjaro au Mwanga/Same, anasema Moshi. Bora hata mrombo/mmachame akasema Moshi, sio mpare.
 
Upanga kwa wanaomkumbuka k.twisa tabia yake mpaka leo na zamani ile ile
Alafu miaka ya zamani wazee waliyokuwa vigogo ukiwa rafiki na watoto zao wakikusikia sana lazima
Wakuvute wajue kiundani kuhusu wewe

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahaaa.

Umenikumbusha nilienda kwa mshikaji Obay. Mshua wake akawa ananiuliza "Baba yako nani?".

Yani mshua hataki mwanawe acheze na watu wasioeleweka.
 
Tabata.

Kuanzia tabata relini one way paka segerea.

Lower middle class people. Ila tabata changombe na ule upande wa njia panda barakuda to vungunguti ni uswahili saaana.

But segerea pazuri mitaa ipo sawa.

Then upande wa segerea bonyokwa. Hapaja changamka saana.

Kinyerezi mwisho patamu saaaana. Mitaa ya kibaga songas n.k.

Kinyerez on mbez road. Pazuri saaana. Ushuani.
 
Back
Top Bottom