Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.

1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.

2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo

3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.

4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.

Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Umesahau mbweni kijijini
 
Una mawazo kama yangu, Mimi ningevunja kuanzia ubungo hadi kimara nyuma zote za barabarani na kujenga maghorofa yanayofanana. Hill eneo ndio mdomo wa Tanzania
Wananchi ungewapa fidia sasa???
 
Nakumbuka enzi hizo tanesco kila bishoo dar lazima aende kupiga kikapu. Miaka ile NBA Chicago Bulls ndio inakimbiza mbaya nadhan na Orlando magic.
Jack alichangisha watu hela za harusi halafu akafanya nauli kuruka kiwanja.

Mpaka leo nikimuona Papaa Pemba anatamba huwa nacheka sana.

Don Bosco Festivals zilikuwa poa sana, watu wanajumuika kutoka sehemu mbalimbali, mashindano ya soccer, basketball, muziki, ubishoo.

Mara huyu kaiba gari ya baba yake kaja kuringishia watu misele. Mara huyu summer boy katoka chuo Marekani kaja watu wamuone karudi likizo.

Ilimradi watu walifurahi.

Siku hizi hakuna habari hizi?
 
Nakumbuka enzi hizo tanesco kila bishoo dar lazima aende kupiga kikapu. Miaka ile NBA Chicago Bulls ndio inakimbiza mbaya nadhan na Orlando magic.
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.

Watu wamejifua sana Basketball.
 
Mzee malai umenikumbusha mbali mlezi wa pazi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa upanga nakuona born town kitambo miaka hiyo Makonda yuko Kolomije anachunga mbuzi
Basketball kulikuwa na TANESCO, Oysterbay kwa Mzee Kimaro Haile Selassie pale (Baba yake producer Master Jay), Gymkhana grounds kwa Mzee Malai palipokuja kujengwa Sheraton, Don Bosco na Uwanja wa Ndani wa taifa.

Watu wamejifua sana Basketball.
 
Hasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.

Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
Mkuu wewe ni wa miaka ya 1980's au 1970's ?
 
Hasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.

Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
Mkuu wewe ni wa miaka ya 1980's au 1970's
 
Sasa hivi upanga ya Wahindi na waarabu
Upanga yenyewe sahv syo kama ile ya wkt wenu
Zamani watoto wa upanga wote utawakuta don Bosco......na changanyikeni toka sehemu zingine
Sahv wa Asia wanatamba tu

Ova
 
Kuna Mzee Mchaga alikuwa anaitwa Elli Mboto alikuwa anaongoza Tanzania Film Company. Lazima atakuwa kashiriki kwa namna moja au nyingine hapo.

Eneo lile washua wamejigawia kama wote wakae karibu na Baba yao, akiwaita mara moja washafika.
Hii issue niliipata, hili eneo lilipigwa kinyemela vigogo walijimilikisha hapo. Mchoro ukabadilishwa maisha yakaendelea
 
Kitaa kile kinahamasisha kurudi Bongo, ila tunahofia kesi za uhujumu uchumi nje nje.

Pale kama ndiyo location ya movie, kushindwa ushindwe mwenyewe.
Pale wanaishi sisi wengine huku Bunju tunasogeza siku
 
Mtoto wa upanga nakuona born town kitambo miaka hiyo Makonda yuko Kolomije anachunga mbuzi
Hapo hata Baba yake Mzee Baba mwenyewe hajafika mjini.

Watu tumetembea corridors za Ikulu tangu tumboni mwa mama zetu.

Ila Waswahili wanasema "Mla mla leo, mla jana kala nini?".

Kutesa kwa zamu.

Ndiyo maana wengine tumepiga kura kwa miguu kuja huku, Dar es salaam ya dunia.
 
Mzee mtu poa sana katoa sana bank statements zake kusafirisha vijana kwenda vyuoni Marekani miaka ile.
Sana....mm mwenyewe alishanipiga taff issue fulani
Alipelekaga pazi USA .....
Aliwapa watu wa pazi ajira kwenye kampuni yake ya clearing.......
Nilimuonaga kipindi fulani alikatwa mguu
Alikuwa na roho Safi siyo mchoyo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi upanga ya Wahindi na waarabu
Wazee wengine walihamia mambezi huko
Wengine waliuza .....
Kama obay pia una watoto wengine wazee wao ambao walikuwa awajui kujiongeza wlihama obay
Basi maisha yakawapiga sahv ndy tunawakimbza wao,mashuwa wengine wajanja kitambo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom