Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

maeneo yote karibu yana kila hali.kwa uzoefu wang sehem pekee naona ni oystebay na upanga ndikko washua wamejazana
Osterbay ilikuwa miaka ya 90
Sahv kna magenge makelele
Zamani hko ukipita ni mlio wa ndege na madogy tu
Shopping watu wa huko ni morogoro store au TX market
Kuna mashuwa wanaishi kunduchi ununio,mbweni
Ukienda kiluvya ukingia kama unaelekea kituo kikuu cha polisi hko ndani hko kna mji hatari nyumba za maana

Ova
 
kikuvya gogoni
watu sikuhizi wanajimilikisha pembezoni mwa miji kujinafasi mji unasogea pembeni
Osterbay ilikuwa miaka ya 90
Sahv kna magenge makelele
Zamani hko ukipita ni mlio wa ndege na madogy tu
Shopping watu wa huko ni morogoro store au TX market
Kuna mashuwa wanaishi kunduchi ununio,mbweni
Ukienda kiluvya ukingia kama unaelekea kituo kikuu cha polisi hko ndani hko kna mji hatari nyumba za maana

Ova
 
Nyumba ninazozungumzia zipo maeneo mengi kama kinondoni,magomeni,ilala,mwananyamala ukiziangalia zimekuwa fupi sana.
Nyumba nying hko ni za urithi
Nyumba ikiuzwa mln 120 au 150 Dah
Mgawo kuna watu kama 40 hvi[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Dar es saalam imechanganyikana mno kati ya maskini na tajiri, kwa ufano pale Tandale unaweza kukuta nyumba ya Mil 600 hadi One Billion wakati jirani yake ana kibanda kimechoka ni hatari na kuuza hataki hata wa bei yoyote. ... na maisha kati ya hawa wawili mtu na jirani yake yanaendelea...
 
Duh umenikumbusha njia ya tandale kwenda sinza upande wa kulia kuna bonge moja la ghorofa kwenye parking kuna brand new vogue,vx v8,Hyundai,X5 nk sijui kwa nani hapo!
mrangi
 
Pale Msasani kwa Nyerere, Nyerere alikuwa na jirani zake wa jinsi hiyo.

Wale wazee wengine Nyerere kawakuta pale. Rafiki zake, unamjua tena Baba Kabwela anavyopenda kujichanganya, siku nyingine alikuwa anacheza nao bao.

Wakaja watu wenye fedha wanataka kunua eneo. Wazee wakakataa. Wakataka kuwaondoa kwa nguvu pale. Wakaenda kushitaki kwa Nyerere. Nyerere akasema haondoki mtu kwa kulazimishwa hapa.

Sijui kama baada ya Nyerere kufariki wale wazee waliobaki na watoto wao wameendelea ngangali.

Pale kuna nyumba ya Oscar Kambona pia. Washua walijenga pamoja kabla ya kufarakana. Kipande kile baharini kule mpaka kuelekea Mbalamwezi na mbele zaidi pametulia sana. Kuna ma villa nilikuwa naenda parties utasema uko Acapulco Beach vile.

Lakini ukichepuka kidogo tu umerudi kwa Mama Sikudhani Uswazi. Yani kwa Mama Sikudhani pale maisha ya nyumba za udongo kawaida tu.
 
baba hilo bangaluu wengi tunalijua - ukipita pale jaribu kuchungulia tu ndani utakuta magari ya nguvu ni balaa, ila next house unakuta wanakula kwa kengele!! yaani mwanafamiia akichelewa dk 5 tu basi kashalala njaa - hii ndiyo D'salaam bana...
 
Pale Msasani kwa Nyerere, Nyerere alikuwa na jirani zake wa jinsi hiyo.

Wale wazee wengine Nyerere kawakuta pale. Rafiki zake, unamjua tena Baba Kabwela anavyopenda kujichanganya, siku nyingine alikuwa anacheza nao bao.

Wakaja watu wenye fedha wanataka kunua eneo. Wazee wakakataa. Wakataka kuwaondoa kwa nguvu pale. Wakaenda kushitaki kwa Nyerere. Nyerere akasema haondoki mtu kwa kulazimishwa hapa.

Sijui kama baada ya Nyerere kufariki wale wazee waliobaki na watoto wao wameendelea ngangali.

Pale kuna nyumba ya Oscar Kambona pia. Washua walijenga pamoja kabla ya kufarakana. Kipande kile baharini kule mpaka kuelekea Mbalamwezi na mbele zaidi pametulia sana. Kuna ma villa nilikuwa naenda parties utasema uko Acapulco Beach vile.

Lakini ukichepuka kidogo tu umerudi kwa Mama Sikudhani Uswazi. Yani kwa Mama Sikudhani pale maisha ya nyumba za udongo kawaida tu.
Wamakonde dar ndy watu waliyoweza kushika maeneo hot ila waliyaachia kifalaaaa
Mpaka Ukienda msasani Peninsula walijaa wao
Ukienda ununio,kunduchi wao

Ova
 
Pale Msasani kwa Nyerere, Nyerere alikuwa na jirani zake wa jinsi hiyo.

Wale wazee wengine Nyerere kawakuta pale. Rafiki zake, unamjua tena Baba Kabwela anavyopenda kujichanganya, siku nyingine alikuwa anacheza nao bao.

Wakaja watu wenye fedha wanataka kunua eneo. Wazee wakakataa. Wakataka kuwaondoa kwa nguvu pale. Wakaenda kushitaki kwa Nyerere. Nyerere akasema haondoki mtu kwa kulazimishwa hapa.

Sijui kama baada ya Nyerere kufariki wale wazee waliobaki na watoto wao wameendelea ngangali.

Pale kuna nyumba ya Oscar Kambona pia. Washua walijenga pamoja kabla ya kufarakana. Kipande kile baharini kule mpaka kuelekea Mbalamwezi na mbele zaidi pametulia sana. Kuna ma villa nilikuwa naenda parties utasema uko Acapulco Beach vile.

Lakini ukichepuka kidogo tu umerudi kwa Mama Sikudhani Uswazi. Yani kwa Mama Sikudhani pale maisha ya nyumba za udongo kawaida tu.
Mbalamwezi ilikuwa eneo la TANZANIA FILM COMPANY chukuaaa hiyoooooo
Ila watu waliliuza kistyle na sijui kama watu wanaelewa hiii ila eneo hilo ilikuwa la kwao
Kipande kile pembezoni mwa bahari kuelekea kawe wanaishi wakina mark bomani,kahama,simba Paul bomani etc watu waliwahi

Ova
 
Back
Top Bottom