Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Mbalamwezi ilikuwa eneo la TANZANIA FILM COMPANY chukuaaa hiyoooooo
Ila watu waliliuza kistyle na sijui kama watu wanaelewa hiii ila eneo hilo ilikuwa la kwao
Kipande kile pembezoni mwa bahari kuelekea kawe wanaishi wakina mark bomani,kahama,simba Paul bomani etc watu waliwahi

Ova
Kitaa kile kinahamasisha kurudi Bongo, ila tunahofia kesi za uhujumu uchumi nje nje.

Pale kama ndiyo location ya movie, kushindwa ushindwe mwenyewe.
 
Yah enzi za mchonga ile eneo la mbalamwezi sahv sjui panaitwaje ilikuwa chini ya tanzania film company,paliuzwa kinyemela Nna Imani sahv hata hao bongo movie hawalijui hilo[emoji23][emoji23]
Miaka ya 90 ukipita mbezi ya chini enzi hzo njia vumbi alafu pori nyumba zilikuwa chache hko malecela etc watu walikuwa watapaona pori
Sahv Dah Balaaaaaa
Wakati zamani tunapita hapo magari mnahesabu
Watu walikuwa wanapaogopa hko

Ova
 
Tena hapo kuna mmoja mshamba sana Alikuwa sasa Gari zote hzo kama ana yard za nn

Ova
Ukikua katika familia ambayo gari ni kitu cha anasa, halafu ukapata hela ukubwani, lazima ununue gari kwa kulipizia kisasi miaka yote uliyosota.
 
Kitaa kile kinahamasisha kurudi Bongo, ila tunahofia kesi za uhujumu uchumi nje nje.

Pale kama ndiyo location ya movie, kushindwa ushindwe mwenyewe.
Ndiyo ilikuwa sehemu ya location kushoot movie
Mchonga alikuwa na mipango basi tu

Ova
 
Ukikua katika familia ambayo gari ni kitu cha anasa, halafu ukapata hela ukubwani, lazima ununue gari kwa kulipizia kisasi miaka yote uliyosota.
Sio hobby mkuu? Kama wewe na Clarks zako siamini kama ulikuwa na shida ya viatu utotoni 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Yah enzi za mchonga ile eneo la mbalamwezi sahv sjui panaitwaje ilikuwa chini ya tanzania film company,paliuzwa kinyemela Nna Imani sahv hata hao bongo movie hawalijui hilo[emoji23][emoji23]
Miaka ya 90 ukipita mbezi ya chini enzi hzo njia vumbi alafu pori nyumba zilikuwa chache hko malecela etc watu walikuwa watapaona pori
Sahv Dah Balaaaaaa
Wakati zamani tunapita hapo magari mnahesabu
Watu walikuwa wanapaogopa hko

Ova
Kuna Mzee Mchaga alikuwa anaitwa Elli Mboto alikuwa anaongoza Tanzania Film Company. Lazima atakuwa kashiriki kwa namna moja au nyingine hapo.

Eneo lile washua wamejigawia kama wote wakae karibu na Baba yao, akiwaita mara moja washafika.
 
Ukikua katika familia ambayo gari ni kitu cha anasa, halafu ukapata hela ukubwani, lazima ununue gari kwa kulipizia kisasi miaka yote uliyosota.
Kuna watu sahv wanaona magari kama dili
Mm nmekulia uswahilini Sema nlikuwa na connection na watoto wa kishua sana wao enzi hzo Kuja na magari Wana drive kitu cha kawaida......
Enzi hzo tukizamia mamzizima sec kwenye maparty
Yao ya shule sjui shaban Robert watoto wa kishua wanakja na ndiga hapo lazima uzushi ufanyike

Ova
 
Kuna Mzee Mchaga alikuwa anaitwa Elli Mboto alikuwa anaongoza Tanzania Film Company. Lazima atakuwa kashiriki kwa namna moja au nyingine hapo.

Eneo lile washua wamejigawia kama wote wakae karibu na Baba yao, akiwaita mara moja washafika.
Nakwambiaje lile eneo liikuwa balaaaa
Location makamera etc jamaa walikuwa vzr wanamipango

Ova
 
Kuna Mzee Mchaga alikuwa anaitwa Elli Mboto alikuwa anaongoza Tanzania Film Company. Lazima atakuwa kashiriki kwa namna moja au nyingine hapo.

Eneo lile washua wamejigawia kama wote wakae karibu na Baba yao, akiwaita mara moja washafika.
Wazee walikuwa wanaona mbali
Si umeona kama mbweni wazee wa ngwasuma wamejigawia wameitana

Ova
 
Sio hobby mkuu? Kama wewe na Clarks zako siamini kama ulikuwa na shida ya viatu utotoni 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Hahahaa.

"Clarks me prefer.." - Vybz Kartel.

Mimi nimesema hivyo kwa ushahidi wa Clarks zangu.

Mshua ilikuwa akisafiri kwenda kiwanja tunamchorea miguu aje na viatu.

Anarudi na mabegi ya shule, mara mathematical tables. Anasema viatu hata Samora Avenue vipo tukanunue.

Wakati watu wanataka viatu vyenye harufu ya Ulaya.

Sasa nimekua ndiyo nalipiza nina Clarks types kama pair 200 hivi, na bado naongeza. Hapo sijagusa Adidas na mazagazaga mengine.

Sikuwa na shida ya viatu kihivyo, lakini tofautisha kukua na viatu pair tatu nne, na kuwa na pair za viatu nyingi kuliko siku za mwaka.

Ndiyo maana nikakwambia kuna vitu ukivikosa utotoni, ukipata hela ukubwani vinakuletea psychological effect.

But then again, like you said, it is also possible mtu anaendeleza hobby tu.

Hizi hapa Clarks mpya za wiki hii iliyopita.View attachment 1591156
 
Ukikua katika familia ambayo gari ni kitu cha anasa, halafu ukapata hela ukubwani, lazima ununue gari kwa kulipizia kisasi miaka yote uliyosota.
Upanga yenyewe sahv syo kama ile ya wkt wenu
Zamani watoto wa upanga wote utawakuta don Bosco......na changanyikeni toka sehemu zingine
Sahv wa Asia wanatamba tu

Ova
 
Hahahaa.

"Clarks me prefer.." - Vybz Kartel.

Mimi nimesema hivyo kwa ushahidi wa Clarks zangu.

Mshua ilikuwa akisafiri kwenda kiwanja tunamchorea miguu aje na viatu.

Anarudi na mabegi ya shule, mara mathematical tables. Anasema viatu hata Samora Avenua vipo tukanunue.

Wakati watu wanataka viatu vyenye harufu ya Ulaya.

Sasa nimekua ndiyo nalipiza nina Clarks types kama pair 200 hivi, na bado naongeza. Hapo sijagusa Adidas na mazagazaga mengine.

Sikuwa na shida ya viatu kihivyo, lakini tofautisha kukua na viatu pair tatu nne, na kuwa na pair za viatu nyingi kuliko siku za mwaka.

Ndiyo maana nikakwambia kuna vitu ukivikosa utotoni, ukipata hela ukubwani vinakuletea psychological effect.

But then again, like you said, it is also possible mtu anaendeleza hobby tu.
Enzi hizo rubber za ku pump,begi mgongoni ina saa
Mlikuwa mnatutia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Upanga yenyewe sahv syo kama ile ya wkt wenu
Zamani watoto wa upanga wote utawakuta don Bosco......na changanyikeni toka sehemu zingine
Sahv wa Asia wanatamba tu

Ova
Nimerudi Upanga likizo nimekuwa kama mgeni mimi.

Watu karibu wote wamehama. Waliobaki wachache sana.

Watoto wadogo hata hawajui ma legends wa kitaa.
 
Nimerudi Uoanga nimekuwa kama mgeni mimi.

Watu karibu wote wamehama. Waliobaki wachache sana.

Watoto wadogo hata hawajui ma legends wa kitaa.
Duh....unmpata smbdy songoro alikuwa mitaa ya Seaview ?
Upanga ile mitaa ya opp na muhimbili alipokuwa anakaa kibonde....walikuwepo wakina jack pemba,
Wakina byotto ila jack magumashi kaanza zamani[emoji23][emoji23]Ndomana hata nksikiaga vurugu zke sishangai
Shv hakuna Centre kma don Bosco watu wanakutana
Wanapeana michongo,kama enzi zile

Ova
 
Enzi hizo rubber za ku pump,begi mgongoni ina saa
Mlikuwa mnatutia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Hasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.

Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
 
Duh....unmpata smbdy songoro alikuwa mitaa ya Seaview ?
Upanga ile mitaa ya opp na muhimbili alipokuwa anakaa kibonde....walikuwepo wakina jack pemba,
Wakina byotto ila jack magumashi kaanza zamani[emoji23][emoji23]Ndomana hata nksikiaga vurugu zke sishangai
Shv hakuna Centre kma don Bosco watu wanakutana
Wanapeana michongo,kama enzi zile

Ova
Jack alichangisha watu hela za harusi halafu akafanya nauli kuruka kiwanja.

Mpaka leo nikimuona Papaa Pemba anatamba huwa nacheka sana.

Don Bosco Festivals zilikuwa poa sana, watu wanajumuika kutoka sehemu mbalimbali, mashindano ya soccer, basketball, muziki, ubishoo.

Mara huyu kaiba gari ya baba yake kaja kuringishia watu misele. Mara huyu summer boy katoka chuo Marekani kaja watu wamuone karudi likizo.

Ilimradi watu walifurahi.

Siku hizi hakuna habari hizi?
 
Kusaga na bony washapiga sana mziki
Pale....wanakuja na maredio yao makubwa.j.kalikawe mtoto wa upanga (rip)

Ova
 
Hasira mlijitia wenyewe. Wote tulikuwa tunalimbuka kutoka utawala wa Baba Kabwela.

Kuna sehemu nilishaambiwa nina mwendo wa kuringa eti sababu nina "raba mtoni".
Hahaha Mm nlikuwa nawaletea uzushi tu
Wananipa

Ova
 
Jack alichangisha watu hela za harusi halafu akafanya nauli kuruka kiwanja.

Mpaka leo nikimuona Papaa Pemba anatamba huwa nacheka sana.

Don Bosco Festivals zilikuwa poa sana, watu wanajumuika kutoka sehemu mbalimbali, mashindano ya soccer, basketball, muziki, ubishoo.

Mara huyu kaiba gari ya baba yake kaja kuringishia watu misele. Mara huyu summer boy katoka chuo Marekani kaja watu wamuone karudi likizo.

Ilimradi watu walifurahi.

Siku hizi hakuna habari hizi?
Jack pemba kiboko

Ova
 
Back
Top Bottom