mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Asilimia kubwa wa mashuwa walipenda watoto zaoHahaaa.
Umenikumbusha nilienda kwa mshksji Obay. Mshua wake akawa ananiyliza "Baba yako nani?".
Yani mshua hataki mwanawe acheze na watu wasioeleweka.
Wawe na urafiki na watoto wa mashuwa wenzao
Nilikuwa na rafiki yangu mmja mtoto wa kishua fulani (kitomari rip)alinibukia uswazi aliletwa na dereva akamuacha Dah badaye mashuwa wake akamfata na Suka wacha dingi yake amjie juu
Anamuliza umepajuaje hku hku watu watakumiza [emoji23][emoji23][emoji23]mbona unakuja kwa watu wahuni
Kuna siku mzee alintumia ujumbe nakumbuka tena wa barua ananiita nyumban kwake masaki hiyo
Hapo mtoto wao alirudi shule kenya wakati huo kumsomeaha mtoto kenya ilikuwa inavuma
Kama kawaida wazee wa kujiamini nkaitikia wito
Kufika namkuta dingi na mama nlipigwa maswali balaa,Sema walikutana na chuma maana nlikuwa sharp sana .........
Yaani mkuu kwa sababu familia zetu zilikuwa za kuungaunga mm kwenye suala la Ada nkiona mambo mazito nlikua nawatupia mashuwa wao wanani rekebishia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app