Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
si ndo yule don mhaya?Jack pemba kiboko
Ova
si ndo yule don mhaya?Jack pemba kiboko
Ova
kulikuwa na kiingilio? walikuwa wanapiga miziki wa bongo au mbele?Kusaga na bony washapiga sana mziki
Pale....wanakuja na maredio yao makubwa.j.kalikawe mtoto wa upanga (rip)
Ova
Hakuna vingilio watu wanaonesha maujanja yao tukulikuwa na kiingilio? walikuwa wanapiga miziki wa bongo au mbele?
Magambani beach nlifika nlienda mpaka kwenye jumba aliyokuwa anajenga hashim ile jumba angemlizia ingekuwa balaaaaBagamoyo kumetulia sana ila najua watu watakuwa wameshanunua sana maeneo.Hashim kajenga kule
air force 1 na timbs vipi?Hahahaa.
"Clarks me prefer.." - Vybz Kartel.
Mimi nimesema hivyo kwa ushahidi wa Clarks zangu.
Mshua ilikuwa akisafiri kwenda kiwanja tunamchorea miguu aje na viatu.
Anarudi na mabegi ya shule, mara mathematical tables. Anasema viatu hata Samora Avenue vipo tukanunue.
Wakati watu wanataka viatu vyenye harufu ya Ulaya.
Sasa nimekua ndiyo nalipiza nina Clarks types kama pair 200 hivi, na bado naongeza. Hapo sijagusa Adidas na mazagazaga mengine.
Sikuwa na shida ya viatu kihivyo, lakini tofautisha kukua na viatu pair tatu nne, na kuwa na pair za viatu nyingi kuliko siku za mwaka.
Ndiyo maana nikakwambia kuna vitu ukivikosa utotoni, ukipata hela ukubwani vinakuletea psychological effect.
But then again, like you said, it is also possible mtu anaendeleza hobby tu.
Hizi hapa Clarks mpya za wiki hii iliyopita.View attachment 1591156
watoto wa kishua walitamba sanaKuna watu sahv wanaona magari kama dili
Mm nmekulia uswahilini Sema nlikuwa na connection na watoto wa kishua sana wao enzi hzo Kuja na magari Wana drive kitu cha kawaida......
Enzi hzo tukizamia mamzizima sec kwenye maparty
Yao ya shule sjui shaban Robert watoto wa kishua wanakja na ndiga hapo lazima uzushi ufanyike
Ova
nasikia bon luv alikuwa mtu maarufu sanaHakuna vingilio watu wanaonesha maujanja yao tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
so kumejaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hivi hakujawahi kuwa na trend ya watoto wa kishua kuchukua mademu uswahilini?Wenyewe si wanatafuta tunawafundisha maujanja
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duh tajiri wa magomeni! Pazi ni timu kubwa ya kikapu Tz, wapinzani wao wa jadi Vijana. Hawa kama Simba na Yanga wakicheza hapatoshi uwanja wa ndani wa Taifa au pale Zanaki.Pazi ndo nani?
Mwache tumuuzie kule bahari usiku maji yakiondoka!
ntafika hayo maeneoEneo lile la hifadhi na mikoko.....mkondo wa maji unaingia pia hapo....yeye kutaka hilo eneo alitengenezewa mchezo na watu wa wizara etc
Ila alichokitafuta alikipata
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
hata hali ya hewa nzuri [emoji3][emoji3][emoji3]Naaam.... mitaa yake imepangia alafu nyumba za kishua saana
komesha korona
kipindi hicho Hashim sidhani kama alikuwepo
bado ipo au ilishakufaDuh tajiri wa magomeni! Pazi ni timu kubwa ya kikapu Tz, wapinzani wao wa jadi Vijana. Hawa kama Simba na Yanga wakicheza hapatoshi uwanja wa ndani wa Taifa au pale Zanaki.
Zipo ila basketball haina tena msisimko kama 90s na early 2000sbado ipo au ilishakufa
unapiga kikapu?Zipo ila basketball haina tena msisimko kama 90s na early 2000s
Kujifurahisha tu, nishakuwa Veteran nimecheza kote na watu walitajwa humu....Kwa kimario,Don Bosco,Tanesco,Zanaki kote hukounapiga kikapu?
noma mzee ila mazoezi muhimu yanakuweka freshKujifurahisha tu, nishakuwa Veteran nimecheza kote na watu walitajwa humu....Kwa kimario,Don Bosco,Tanesco,Zanaki kote huko
Nakimbia sana siku hizi. Contact sports nimepunguza.noma mzee ila mazoezi muhimu yanakuweka fresh