Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Hawa unaowataja hapa ni umri wako nastahili kukupa shkamoo mkuu.
Hao wengi ni watu wa kitengo ulishindawaje kuingia huko labda sasa hivi ungekuwa RSO sehemu
Mwana mimi nilianza kutembea corridors za Ikulu hapo Princess Margaret's Wing tangu niko tumboni mwa mama yangu.

Nishakula sana ma apple ya Mama Joan Wicken.

Watoto wa juzi hapa hata wanamjua Joan Wicken ni nani?

Kazi za serikali ya Tanzania nazijua tangu enzi za Nyerere.

Na nilishajiaapiza siwezi kufanya.

Na kadiri miaka inavyoenda, nazidi kuona uamuzi wangu ulikuwa sahihi.
 
ntafika hayo maeneo
Mwenge,sinza zamani unambiwa ilikuwa kunaonekana porini......wakati wa nyerere ilipovunjwa jumuiya ya afrika mashariki kuna Wafanyakazi walikuwa kenya.

Walipewa offer ya viwanja mwenge sinza ah wengine wakasema mbn Hawa wanatupeleka pori ila Ona kulivyo sasa,ila kuna baadhi wajanja walichkua maeneo makubwa huko

Ova
 
Mwenge,sinza zamani unambiwa ilikuwa kunaonekana porini......wakati wa nyerere ilipovunjwa jumuiya ya afrika mashariki kuna Wafanyakazi walikuwa kenya
Walipewa offer ya viwanja mwenge sinza ah wengine wakasema mbn Hawa wanatupeleka pori ila Ona kulivyo sasa,ila kuna baadhi wajanja walichkua maeneo makubwa huko

Ova
Hawa walikuwa wanapelekwa na buses weekend wakachague viwanja mikocheni,mbezi beach wanakataa wanasema porini!

Kosa hili kuna vijana wanalirudia sasa hivi kukataa sehemu kama mapinga,Kiluvya,chanika etc
 
Kweli kabisa

Ova
 
Za kila rangi mkuu, mpaka Timbs nyeupe za "All White Party".
Duh nilikuwa na brown,tan,blue,light blue,dark blue! Sasa hivi majukumu mengi na jua kali Bongo ninayo moja tu brown kuna mtu nilimtajia bei nilionunua hakuamini!
 
Duh nilikuwa na brown,tan,blue,light blue,dark blue! Sasa hivi majukumu mengi na jua kali Bongo ninayo moja tu brown kuna mtu nilimtajia bei nilionunua hakuamini!
Sahv watoto wakiuziwa nguo na viatu vya robby one au vunja bei wanajua ni vyenyewe

Ova
 
Mwenge,sinza zamani unambiwa ilikuwa kunaonekana porini......wakati wa nyerere ilipovunjwa jumuiya ya afrika mashariki kuna Wafanyakazi walikuwa kenya
Walipewa offer ya viwanja mwenge sinza ah wengine wakasema mbn Hawa wanatupeleka pori ila Ona kulivyo sasa,ila kuna baadhi wajanja walichkua maeneo makubwa huko

Ova
Sinza E, mitaa ya lion hotel kulikuwa ni mashamba ya mpunga
 
Maeneo ya kinondoni bwawani au kule nyuma mitaa ya hombos,mtaa wa sele bonge zamani kulikuwa ovyo
Walipotengeneza barabara na kuweka lami pmekuwa pazuri sahv

Ova
 
Hiyo 300 nashuka zangu mpigi nanunua kiwanja na kupandisha kigorofa
Kuna watu waliuza nyumba along Ali hassan mwinyi kutokea moroco kwenda Victoria watu waliuza mpk bln 4 mzee waliwapisha watu wajenge magorofa.

Mimi nina ushahidi wa mama mmoja tena mtoto wake mmja alikuwa miss tz aliuza sehemu hyo bln 4 . kadhaa akasepa ktk hela hyo alinunua nyumba 5

Ova
 
Back
Top Bottom