mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali.
MAFANIKIO
1. Mwanamke anapata fursa na hamasa ya kupata elimu na ajira.
2. Mwanamke anamiliki uchumi wake kwa uhuru zaidi.
3. Mwanamke kupata fursa ya kupaza sauti na utetezi katika maeneo mengi.
CHANGAMOTO
1. Wanufaika wa fursa hizo ni wanawake wanaoishi mjini zaidi kuliko vijijini.
2. Mfumo dume bado unashika hatamu.
3. Uelewa tofauti na usio sahihi kwa wanawake kuhusu adui wa mwanamke.
4. Mwanaume kuwekwa pembeni katika harakati hizi.
ATHARI
1. Idadi ya wanawake wanaojiamini kupita kiasi inaongezeka.
2. Kudhoofika kwa taasisi ya familia na ndoa.
3. Kuongezeka kwa tatizo la afya ya akili.
Tanbihi: Wanawake wafanye bidii kumcha mwenyezi Mungu mengine ni mtego kwao na kesho yao.