Wewe ndio wale masikini akipata na matako hulia mbwata, njoo na Polo vivo VW uone km kuna mtu atakua na time naww, sa'bu hio Hummer niya gharama na location ya huko ni kipawa, njoo Mwenge au K/nyama uone km kuna mtu atakua na time naww au Bweni uone watu wanaburuza mpaka RR GHOST....eti oooh bongo sirudi tena, kuna watu wapo vzr sana hapa Bongo ..."fotsek wena"
Maskini akiliza Matako si ndo uzuri yanapumua? (ule ndo uhai au) hilo nalo linakuumiza Mkuu??...... haendi Mbinguni kwani?? uki mind we ya Busu! u-update status yako!... uwaridike Mkuu!
Nachelea sema weye ni wakuja Dsm!!! ....Mwenge pale! kwa Barabara zipi nzuri zitaje? kwanza zipo mbili chafu!chafu ivi? Sam Nujoma/ Morocco-Mwenge tuuu!
hii uwe makini na timing! ukifika reagent tu,... ,ni nyembamba pale! na hii ya kutokea Ambiance ni ndogo mbaya! Mwenge mbanano, joto la Dsm utadhani Mahindi ya kuchoma!
K/nyama/sinza ni Midimbwi ya vinyesi, vinavyo zibuliwa uswahilini (zamani majaruba ya Mipunga) Bibi zetu walilima huko! hakuna lolote na badoo ni Mibanano pia!! Mwenge/kijitonyama ukipita chocho wkt wa mvua!!
ni umekaa! utapita wapi? Sabato?...... au!! kidooogo Mwenge kijijini pale unaweza sema nisogee tu! lkn utafika wapi? Bado nakuona na wewe ni wale wale mnao sifia kajigari Prado!
Bora unge sema Kulee kilima Hewa!...Bongo ni Bongo tu. ni nzuri kwako weye wa Mkoani ndo umepatia! unaendesha gari zuri kwenye vifusi vya vinyesi vya kuzibuliwa Manzesse/Mabibo unajiona Mjanjaa!...
nyie ndo mnajipaga moyo eti ''Uraya ni hapahapa!''...sababu tu unakula vibudu vya Pugu Mnadani basi unajiona mjanjaaa hkn tena! umemaliza si kweli!
Hata ukiwa na Gari zurije Bongo, huna pa kuliendeshea kwa uhuru na utamu kama huku niliko! tena DSM unaendesha kwa mashaka mnoo, vibaka,wezi wa magari,njaa kali labda uwe na hirizi!
jamani eti njaa za bongo mtu anajigongesha kwenye gari langu ili umlipe pesa tu! ni wazi wewe una maongezi ya mtu asiye kuwa na hata pikipiki achia gari, kuendesha hujui Bongo huna gari weye !
Gari kidoogo siku hizi Labda wende Mikoani na Mikoa mitamu kwa uendeshaji mtamu na salama ni Dar..Moshi/Arusha/ to Mwanza via Nairobi to Tarime- Musoma! hizi barabara ni km uko nyumbani kwako uani tu!