Mafanikio hayatangazwi bali hujitangaza

Mafanikio hayatangazwi bali hujitangaza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers'

Wakijifanya kuwatia moto wengine wapambane kama wao kumbe wanajitangaza ili wawaumize wengine kwa kuwaibia pesa na mali kwa njia ya ulaghai wa biashara na uwekezaji mbalimbali
Yuko wapi Mr. Kuku
Yuko wapi Marunguwe
Wako wapi wazee wa crypto
Yuko wapi yule dada aliyesema alianza kuuza mchicha
Na sasa huyu wa juzi ambaye bado yuko lupango kwa kukosa dhamani yenye masharti nafuu kwa level aliyokuwa anajitapa anayo
List ni ndefu kuna mapapa na kuna vipapa.. Bila kuwasahau chawa maarufu wa kile chama cha siasa !
Hawa wote pesa zao hazina misingi ya kudumu kibiashara na ki uwekezaji kwakuwa hawanazo kama wanavyojitapa
Pili kuna ambao ni matapeli wa kaliba zote
Tatu ni punda wapagazi wa kubeba madawa ya kulevya
Nne machawa wa wanasiasa na watu 'maarufu'
Sasa kwakuwa pesa zao ni za njia za mkato zisizokatwa kodi nk..sehemu yake ndio hutumika kusumbua mitandaoni ili kujifanya wamefanikiwa Sana

Kuna hawa wengine matapeli na wafanyabiashara ya dini.. Manabii na mitume feki, wachache washapitiwa na rungu lakini wengi bado wabaendelea kuumiza watu
Waliofanikiwa kikwelii japo nao wana kwere zao kwenye hayo mafanikio sio watu wa mitandaoni, kujikweza na kujivunia mafanikio.. Hesabu zinaongea zenyewe na matendo hukidhi haja marilidhawa Kuliko maneno..
Hawa hutangazwa kwa rank zao za utajiri na kwa level zao.. Wa mwisho mpaka wa kwanza

Usihadaike na tashtiti za maonesho ya mitandoni.. Brown kwa namna alivyokuwa akijiweka kakosa mali isiyohamishika ya 40M yaani around $17,000 hivi.. Na kumbe nyuma ya pazia alikuwa tapeli
Mnamkumbuka yule aliyechangisha hela za wahanga janga la Kariakoo? Wameshamzima
Pesa haina na haitaki kelele
 
Hii ni kweli kabisa! Mafanikio ya kweli hayahitaji kujivunia sana mbele za watu, na mara nyingi watu wa kweli wanapenda kubaki kimya na kuachia matendo yao yaongee.
 
Yaani ni kweli kabisa, maana hata mvua haihitaji itangazwe ili mkulima akalime , naam, kibaya hujitembeza sana, duuh !
 
Screenshot_20201221-212707_1608626365046.jpg
 
😂😂Dada wa kuuza mchicha uingereza

Aisee hawa tuwaache tu na kuna watu wanatamani maisha yao tuepukane na njia za mkato

Kuna akina chief Godlove anajiita namashaka nae , from no where unampa mtu 5M ya zawadi umeibuka from no where kujitangaza hadharani kuwa wewe tajiri
 
😂😂Dada wa kuuza mchicha uingereza

Aisee hawa tuwaache tu na kuna watu wanatamani maisha yao tuepukane na njia za mkato

Kuna akina chief Godlove anajiita namashaka nae , from no where unampa mtu 5M ya zawadi umeibuka from no where kujitangaza hadharani kubwa wewe tajiri
Huyo naye ni walewale tuu.. Ni suala la muda tuuu
 
Kukumbushana kweli ni ada kama ulivyosema.

Wajinga wanaendelea kuzaliwa na kuzalishwa kila uchao, maana yake hawaishi na hawapungui, bali wanaongezeka.

Hawa matapeli wa kujimwambafy kuhodhi mali na biashara mbali mbali, kwa mtu mwenye akili timamu ni rahisi kuwang'amua na kuwadhibiti.

Matapeli ambao ni wabaya kuliko ukoma ni hawa wajasiriadini wanaokingwa na mwavuli wa Serikali kwa udhaifu wa katiba na sheria zilizopo za kuruhusu mtu kuabudu chochote kwa namna anavyotaka na kwamba Serikali haina dini!

Utapeli wa aina hii kwa namna ulivyojipenyeza na kuota mizizi, kuung'oa katika jamii kunahitajika akili kubwa na ya ziada, sababu jamii yetu ina wajinga wengi wa 'kuzalishwa' kuliko werevu.

Kwa hiyo 'mitume na manabii' hili kwao ni fursa isiyogusika.
 
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers'

Wakijifanya kuwatia moto wengine wapambane kama wao kumbe wanajitangaza ili wawaumize wengine kwa kuwaibia pesa na mali kwa njia ya ulaghai wa biashara na uwekezaji mbalimbali
Yuko wapi Mr. Kuku
Yuko wapi Marunguwe
Wako wapi wazee wa crypto
Yuko wapi yule dada aliyesema alianza kuuza mchicha
Na sasa huyu wa juzi ambaye bado yuko lupango kwa kukosa dhamani yenye masharti nafuu kwa level aliyokuwa anajitapa anayo
List ni ndefu kuna mapapa na kuna vipapa.. Bila kuwasahau chawa maarufu wa kile chama cha siasa !
Hawa wote pesa zao hazina misingi ya kudumu kibiashara na ki uwekezaji kwakuwa hawanazo kama wanavyojitapa
Pili kuna ambao ni matapeli wa kaliba zote
Tatu ni punda wapagazi wa kubeba madawa ya kulevya
Nne machawa wa wanasiasa na watu 'maarufu'
Sasa kwakuwa pesa zao ni za njia za mkato zisizokatwa kodi nk..sehemu yake ndio hutumika kusumbua mitandaoni ili kujifanya wamefanikiwa Sana

Kuna hawa wengine matapeli na wafanyabiashara ya dini.. Manabii na mitume feki, wachache washapitiwa na rungu lakini wengi bado wabaendelea kuumiza watu
Waliofanikiwa kikwelii japo nao wana kwere zao kwenye hayo mafanikio sio watu wa mitandaoni, kujikweza na kujivunia mafanikio.. Hesabu zinaongea zenyewe na matendo hukidhi haja marilidhawa Kuliko maneno..
Hawa hutangazwa kwa rank zao za utajiri na kwa level zao.. Wa mwisho mpaka wa kwanza

Usihadaike na tashtiti za maonesho ya mitandoni.. Brown kwa namna alivyokuwa akijiweka kakosa mali isiyohamishika ya 40M yaani around $17,000 hivi.. Na kumbe nyuma ya pazia alikuwa tapeli
Mnamkumbuka yule aliyechangisha hela za wahanga janga la Kariakoo? Wameshamzima
Pesa haina na haitaki kelele
Tunalipa watu watangaze mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne.

Mkapa alifanya makubwa sana, hadi sasa yanajitangaza yenyewe.

IMG_20240922_035041.jpg
 
Fake life - physically, financially, socially etc. Ila ni maisha yake na ana haki kabisa ya kuyaishi apendavyo. Alipobugi tu ni hapa kwenye kuvunja sheria. Akitoka bila shaka atakuwa ameshajifunza kitu kuhusu maisha na jinsi ya kuishi na watu. Maisha haya hayanaga bingwa ati!

Joyce Mbaga vs. Nicole Joyberry
-961626231.jpg

Kwenye pochi yake hazikosi milioni 4 za kutokea tu kila siku.....

1960765686.jpg

-1866052029.jpg
 
Fake life - physically, financially, socially etc. Na unakuta huyu naye ni role model wa mtoto fulani wa kike.

Ila ni maisha yake na ana haki kabisa ya kuyaishi apendavyo. Shida tu ni hapo anapovunja sheria!

Joyce Mbaga Vs. Nicole Joyberry

View attachment 3268642

Kwenye pochi yake hazikosi milioni 4 za kutokea tu kila siku.....

View attachment 3268644
Blaza umepiga kwenye mshono hadi kizazi kimecheza😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom