Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers'
Wakijifanya kuwatia moto wengine wapambane kama wao kumbe wanajitangaza ili wawaumize wengine kwa kuwaibia pesa na mali kwa njia ya ulaghai wa biashara na uwekezaji mbalimbali
Yuko wapi Mr. Kuku
Yuko wapi Marunguwe
Wako wapi wazee wa crypto
Yuko wapi yule dada aliyesema alianza kuuza mchicha
Na sasa huyu wa juzi ambaye bado yuko lupango kwa kukosa dhamani yenye masharti nafuu kwa level aliyokuwa anajitapa anayo
List ni ndefu kuna mapapa na kuna vipapa.. Bila kuwasahau chawa maarufu wa kile chama cha siasa !
Hawa wote pesa zao hazina misingi ya kudumu kibiashara na ki uwekezaji kwakuwa hawanazo kama wanavyojitapa
Pili kuna ambao ni matapeli wa kaliba zote
Tatu ni punda wapagazi wa kubeba madawa ya kulevya
Nne machawa wa wanasiasa na watu 'maarufu'
Sasa kwakuwa pesa zao ni za njia za mkato zisizokatwa kodi nk..sehemu yake ndio hutumika kusumbua mitandaoni ili kujifanya wamefanikiwa Sana
Kuna hawa wengine matapeli na wafanyabiashara ya dini.. Manabii na mitume feki, wachache washapitiwa na rungu lakini wengi bado wabaendelea kuumiza watu
Waliofanikiwa kikwelii japo nao wana kwere zao kwenye hayo mafanikio sio watu wa mitandaoni, kujikweza na kujivunia mafanikio.. Hesabu zinaongea zenyewe na matendo hukidhi haja marilidhawa Kuliko maneno..
Hawa hutangazwa kwa rank zao za utajiri na kwa level zao.. Wa mwisho mpaka wa kwanza
Usihadaike na tashtiti za maonesho ya mitandoni.. Brown kwa namna alivyokuwa akijiweka kakosa mali isiyohamishika ya 40M yaani around $17,000 hivi.. Na kumbe nyuma ya pazia alikuwa tapeli
Mnamkumbuka yule aliyechangisha hela za wahanga janga la Kariakoo? Wameshamzima
Pesa haina na haitaki kelele