NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
- Thread starter
-
- #21
Hapo mzee tunaenda kweny sekta ya geologist sio mtata huko MzeeJe ni kweli kuwa milima yote anayomiliki Geita Gold mine huko mkoa wa Geita Ina dhahabu nyingi na dhahabu yake inapatikana sio kwenye kina kilefu?
Mkuu hizi gold detector nadhani unakaugeni kidogo naomba nikufahamishe kitu hapa siku hizi tunaitafuta zaidi miamba ambayo ndani yake inadhahabu sasa sijajua unaitaka hii au vile vipimo vya pure dhahabu ambayo kwa saivi sio dili sana imekua kazi sana kukutana na kitu pure wakushi wamesakanyua sana.Nataka gold detector (underground), kwa hapa Tanzania napata wapi?? Bei yake inakwenda ngapi??
Mtaji milion 6 vip naweza tia timu?Bado jamani naomba maswali ........!!!
Unatia timu kwa mshindo wa ajabu bonge la mzigo linatosha gram kama 60 hivi kwa bei ya porin unachomoka na gram mpaka 70 karibu sana mkuuMtaji milion 6 vip naweza tia timu ?
Ok weka kihesabu kwamba gram moja bei gani na utauza bei gani na eneo gani kwa tz niende kuchek hii biasharaUnatia timu kwa mshindo wa ajabu bonge la mzigo linatosha gram kama 60 hivi kwa bei ya porin unachomoka na gram mpaka 70 karibu sana mkuu
WEWE NI MTANZANIA MWENYE ROHO MBAYABiashara ya dhahabu haina tofauti na beting!!! Wengi tunaliwa anapata mmoja! Invest what you van loose
Mzee nikikuonyesha account yangu ya benki imenona vipi na umri wangu na mbon zangu nimetunza ondoa imani changamka mzee wanguKwanza nikupongeze kwa ku declare ww ni below 25 maana unawatia watu wa 40+ hasira na hata uandishi wako unaonyesha hivyo
Pili naomba kuliza ni mtaji gami mdogo kabisa mtu anaweza kuanza nao?
Tatu mbona nasikiq hela za dhahabu hazikai
Mkuu bei ya dhahabu inashuka nakupanda kila siku nimetok Dodoma leo naomba nifike sokoni na porin maeneo ya chunya nitakupatia bei harisi kuanzia kesho naomba unisamehe sana ndugu yangu sitaki kudanganyaOk weka kihesabu kwamba gram moja bei gani na utauza bei gani na eneo gani kwa tz niende kuchek hii biashara
OkMkuu bei ya dhahabu inashuka nakupanda kila siku nimetok Dodoma leo naomba nifike sokoni na porin maeneo ya chunya nitakupatia bei harisi kuanzia kesho naomba unisamehe sana ndugu yangu sitaki kudanganya
Bei ya dhahabu inaendana na bei ya soko la dunia?Mkuu bei ya dhahabu inashuka nakupanda kila siku nimetok Dodoma leo naomba nifike sokoni na porin maeneo ya chunya nitakupatia bei harisi kuanzia kesho naomba unisamehe sana ndugu yangu sitaki kudanganya
Naweza sema kumeharibu siunajua njia za upigaji zilikua hazijabanwa ko faida ilikua mara nyingi zaidi ya wakati huu upigaji umebanwaKuanzishwa kwa masoko ya kanda kumesaidia au kumeharibu biashara ya dhahabu?
Baada ya kumaliza form six sikuweza kufanikiwa kupata chuo kwakua nilikua na marks ambayo niyakinyonge three ya 13 PCB na niliishia kupata nafasi ya ualimu mkwawa niliamua kupiga chini swala la elimuHi Nyekundu, ahsante kwa kushare nasi ujuzi wako .
Je huu ni ujuzi wako wa darasani(theory) ama ni practical ? Wewe uliipataje hiyo fursa ya kuingia kwenye madini at that under 25yrs na una muda gani huko, kuna mafanikio unayaona ama bado bado?
Naskia bila uchawi na ndumba huwezi kumake hii biashara, je ni kweli huo uchawi unawasaidia hao? Vipi wewe unaamini na kutumia pia?
Kuna hizo risks tunaziskia wachimbaji wanaangukiwa na vifusi muda mwingine, vipi mnachukua tahadhari gani ama ni tahadhari gani za kuzingatia?
Wanasema pesa zinazopatikana kwenye hii biashara wengi wao hawafanyii vitu vya maendeleo mfano other investments(pesa hazikai yaani) vipi ni kweli? Wewe unajionaje ktk hilo?
Thank you in advance!
Nataman kujua anapita wapi hasa eneo lenye magaidi lileKuna rafik angu kaanza na mtaji wa 10milioni japo ata milioni 2 nasikia watu wanaanza kutokana na eneo lilipo
Anachukua msumbiji anauzia Dar
Mara ya kwanza alienda na gram 100 akapiga faida ya milion 1.8 akitoa usafir n.k akabaki na milion 1.5
Akaenda tena second time faida ni million 1.875000
Saiz anaenda sokoni kwa mwez Mara 3
Uhakika wa milion 4+ anao ndani ya mwezi mmoja tu gramu kule saiz ni laki moja mgodini
sokoni dar ilikua laki na 25 japo aitabirik muda wowote ina change kama dola
Alafu ni kijana wa 20+ saiz yupo msumbiji wiki hii anazama dar tena kuuza mzigo
We ulianza na mtaji wa shingapi uko chunya?
Maana kama Mimi nikiwa na milioni 2 ni gram 20 sasa from msumbiji to dar mhmm Mara kuchomwa gram zishuke kidogo faida itaishia nauli tu
Je huko kujisajili kama mnunuzi shingapi vibali ?
Wewe unauzia wapi dhahabu ?