Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

Soko la dhahabu kwa ajili ya kuja kuuza Dar huwa lipo wapi sasa!? Yani ambapo utanunua kwa jumla uje kuuza kwa faida!?

Vipi kuhusu mambo ya utapeli?
Masoko yote bei huwa zafanana, Kwa Dar watu wengi wanaenda Uza kwa Masonara, pia lile Soko lao pae NHC house Samora limewekwa ili kama mtu anataka Safirisha mzigo basi akakaguliwe pale na kupewa Final docs

Utapeli upo
 
Mkuu nilisikia ya dom waserbia wameweka 15m usd. Wabongo wanazo hizi.
 
Nikiokota dhahabu upenuni wa nyumba yangu. Je Itakuwa yangu au ya serikali??
Au uwanja wangu ukigundulika una hayo. Madini chini je ni yangu au ya serikali!?? AU ntapata nini Mwenye ardhi
 
Aisee ki hualisia huwezi toa dhahabu msumbiji ukaja uza dar juzi mechi ya simba na yanga aliku hapo alikuja uza mzigo
Leo asubhi yupo njian anakuja dar tena katoka Jana msumbiji mi ndio nimemkatia tiket alntumia pesa.
Ok sijajua sana akirudi kesho kutwa ntamuuliza izo 7% na service levy ipoje
 
Mkuu nashukuru kwa elimu unayotupa. Naomba utuelekeze namna bora ya kuweza kununua dhahabu nchini kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza nje ya nchi.
 
Nashukuru mkuu mungu akubariki sana umeongeza kitu hapa

Mkuu nimekutumia ujumbe PM...
 
Nikiokota dhahabu upenuni wa nyumba yangu. Je Itakuwa yangu au ya serikali??
Au uwanja wangu ukigundulika una hayo. Madini chini je ni yangu au ya serikali!?? AU ntapata nini Mwenye ardhi
Ardhi ni mali ya Rais.
 
Mkuu muombe aje huku atupe mbinu za kwenda hapo msumbiji
pia kama anaweza kumuongoza mtu kumpa abcs.
 
Mkuu bei ya dhahabu inashuka nakupanda kila siku nimetok Dodoma leo naomba nifike sokoni na porin maeneo ya chunya nitakupatia bei harisi kuanzia kesho naomba unisamehe sana ndugu

Nakupongeza kwa moyo wako wa kutuhamasisha wengi tutafute utajiri kupitia dhahabu!
Hongera saana,
Naomba kufahamu kwa Sasa kati ya geita na chunya wapi ni sehemu nzuri ya kwenda kwa mtu anayetaka kuanza hii biashara??
Namaanisha kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo na kuiuza mwa wanunuzi wa kubwa na kati?
 
Chunya, japo mimi sio mleta mada, ila kwa uzoefu mdogo wa kupita maeneo hayo
 
Hizo crusher ni bei gani na biashara yake inafanyikaje ukishalisimika huko porini?
Mkuu endapo tukikutajia bei utasema tumeleta mada ili tuuze fanya research wew mwenyewe ukiona unaweza kufanya jaribu mkuu
 
Chunya iko vizuri Sana geita imechimbwa Kwa kiasi kikubwa na pia chunya ni nzuri kwa mtaji mdogo
 
Mkuu nashukuru kwa elimu unayotupa. Naomba utuelekeze namna bora ya kuweza kununua dhahabu nchini kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza nje ya nchi.
[emoji3][emoji3][emoji3]hilo swali nenda kafate taratibu serikalini watakupa muongozo mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…