Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

Nahitaji mashine ya kupima purity ya dhahabu naipata wap? Na n bei gani? Asante sana

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Masoko yote bei huwa zafanana, Kwa Dar watu wengi wanaenda Uza kwa Masonara, pia lile Soko lao pae NHC house Samora limewekwa ili kama mtu anataka Safirisha mzigo basi akakaguliwe pale na kupewa Final docs

Utapeli upo
Mkuu Root.
Unasomeka kama upo vizuri sana kwenye haya mambo ya dahahabu.
Na vile vile upindishi maneno…ubarikiwe mkuu!!
 
Hapana kabisa mimi nathibitisha hili kwa kua nilichopata ndani ya miezi sita tu nithamani ya posho ya mstaafu ambayo nasema kwa uwazi ningekomaa na kusom magari na nyumba nzur ningevisikia kwa balozi wa Tanzania nchini India
Wewe umejikita zaidi kwenye eneo gani huko?
 
Mm ni mkemia nisaidie connection mkuu
Aisee si Bora ukafundishe shule za sekondari alafu baadae ukasome masters na PhD udsm alafu baadae ugombee ubunge upate uwe mbunge mahiri uwe waziri wa maujenzi na miundombinu alafu ugombee urais kimasihara watakusukumizia huko alafu unakuwa raisi wa hii nchi unatukimbizaaaa,walahi tena kemia huwa ina bahati ya kumfanya mkemia kuwa raisi kabisa kabisa jaribu hilo achana na madhahabu mkuu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…