chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums,
nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya ukaribisho wangu hapa Jamiiforums, tena mtu wa kwanza kabisa
lakini pia ndani ya kipindi cha siku chache za mwanzo zisizofika hata mwezi maana imejiunga mwezi huu, lakini pia maxence melo Mwenyewe kabisa ali reply kwenye moja ya thread nilizoandika humu.
pia tukienda twiter au X, Kanye West alireply kwenye post yangu ( na pia si maramoja hufanya hivyo), wakati huohuo pia Elon Musk amewahi kinitag mara kadhaa... Kule X
huko mimi hua napost kingereza tuu kiswahili sikumbuki mara ya mwisho nilipost lini ( hii ni njia bora ukitaka kupata marafiki na audience nje ya Tz kwenye mitandao kama X na Facebook)
kule Instagram hua 69ine anareply mara kadha,
na Mara Kadhaa Nicki Minaj na baadhi ya rappers wa Marekani nimewai kuchat nao DM na kwa mara nyingi NickiMinaj ndo hua anaanza kunitafuta ili tu chat na rapers wengi wenye level ya kusikilizwa duniani, pamoja na wachezaji kadhaa huko Instagram
Siku moja NickiMinaj alisema niwasalimie watanzania wote.
na Leo kwa mara ya kwanza salamu zake nazileta kwenu hapa Jamiiforums
na kwa wote matomaso na watakaosema chai nitawapa evidence zote za vitu nilivyosema hapa kama mkianza miyeyusho