Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
‎humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums,
‎
‎nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya ukaribisho wangu hapa Jamiiforums, tena mtu wa kwanza kabisa
‎
‎lakini pia ndani ya kipindi cha siku chache za mwanzo zisizofika hata mwezi maana imejiunga mwezi huu, lakini pia maxence melo Mwenyewe kabisa ali reply kwenye moja ya thread nilizoandika humu.
‎
‎pia tukienda twiter au X, Kanye West alireply kwenye post yangu ( na pia si maramoja hufanya hivyo), wakati huohuo pia Elon Musk amewahi kinitag mara kadhaa... Kule X
‎huko mimi hua napost kingereza tuu kiswahili sikumbuki mara ya mwisho nilipost lini ( hii ni njia bora ukitaka kupata marafiki na audience nje ya Tz kwenye mitandao kama X na Facebook)
‎
‎kule Instagram hua 69ine anareply mara kadha,
‎na Mara Kadhaa Nicki Minaj na baadhi ya rappers wa Marekani nimewai kuchat nao DM na kwa mara nyingi NickiMinaj ndo hua anaanza kunitafuta ili tu chat na rapers wengi wenye level ya kusikilizwa duniani, pamoja na wachezaji kadhaa huko Instagram
‎
‎Siku moja NickiMinaj alisema niwasalimie watanzania wote.
na Leo kwa mara ya kwanza salamu zake nazileta kwenu hapa Jamiiforums
‎
‎na kwa wote matomaso na watakaosema chai nitawapa evidence zote za vitu nilivyosema hapa kama mkianza miyeyusho
 
508E831C-C9E5-4495-8BDE-77025048C50C.jpeg
 
"Mwanga Wa Umaarufu,,Akupe Eeh Bwana....Na Ujazo Wa Replies Akujalie,,Ujulikane Kwa Amani.."
###Amen###
​
 
Umekalia gunzi ndo ukaandika thread? Wazee imekuaje siku hz ? Credibility hakuna kabisa, imekuwa too boring kuingia humu na kukutana na utumbo kama huu !!!!!!!!
 
mnao kataaa mlikuepo🤣🤣🤣,,,

kwahiyo chai hayo ndo mafanikio yako si ndio mwanetu
 
‎humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums,
‎
‎nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya ukaribisho wangu hapa Jamiiforums, tena mtu wa kwanza kabisa
‎
‎lakini pia ndani ya kipindi cha siku chache za mwanzo zisizofika hata mwezi maana imejiunga mwezi huu, lakini pia maxence melo Mwenyewe kabisa ali reply kwenye moja ya thread nilizoandika humu.
‎
‎pia tukienda twiter au X, Kanye West alireply kwenye post yangu ( na pia si maramoja hufanya hivyo), wakati huohuo pia Elon Musk amewahi kinitag mara kadhaa... Kule X
‎huko mimi hua napost kingereza tuu kiswahili sikumbuki mara ya mwisho nilipost lini ( hii ni njia bora ukitaka kupata marafiki na audience nje ya Tz kwenye mitandao kama X na Facebook)
‎
‎kule Instagram hua 69ine anareply mara kadha,
‎na Mara Kadhaa Nicki Minaj na baadhi ya rappers wa Marekani nimewai kuchat nao DM na kwa mara nyingi NickiMinaj ndo hua anaanza kunitafuta ili tu chat na rapers wengi wenye level ya kusikilizwa duniani, pamoja na wachezaji kadhaa huko Instagram
‎
‎Siku moja NickiMinaj alisema niwasalimie watanzania wote.
na Leo kwa mara ya kwanza salamu zake nazileta kwenu hapa Jamiiforums
‎
‎na kwa wote matomaso na watakaosema chai nitawapa evidence zote za vitu nilivyosema hapa kama mkianza miyeyusho
😃😀 Tomaso wa kwanz bhc ni mimi nasubir tu hizo evidence
 
Back
Top Bottom