Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

Kwani una mchango gani kwa timu? Kaa pembeni na wala hakuna atakae hisi lolote.
 
Kameze dawa haraka sana
 
Umeongea booonge la point na inasikitisha wachache watazingatia hili ulilosema. Mimi huwa sishangazwi wala kuumizwa sana na yale yanayotokea kwenye mpira wetu kwa sababu ya hichi ulichosema. Timu inaweza kupigwa pini isifurukute, huku mitaani watu wanatukana tu hawajui kinachoendelea.
 
GENTAMYCINE ni Mtu Mmoja na nashukuru hata JamiiForums Founder ananijua ndani nje bila kusahau na Members kadhaa niliosoma nao SAUT Mwanza na Ndugu zangu Wawili ( Wadogo zangu ) wa damu wakiongozwa na steveachi na Marafiki zangu Wakubwa Wawili Ofisi ya Rais ( TISS Agents ) na Wanajeshi Wawili wa Vyeo vya Captain na Major ( wote wakiwa idara ya Usalama Jeshini JWTZ )

Ulichokisahau na pengine ndiyo maana unahisi hii ID yangu tukuka hapa JamiiForums ya GENTAMYCINE ni Kikundi cha Watu ni kwamba Mimi Kiasili ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na nje ya hapo nina Natural Charm ya Kipekee hivyo inanifanya nikubalike, nifuatiliwe na niwe na Mvuto wa Kiuwasiliishaji hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…