Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo.

Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia Aibu akina GENTAMYCINE ambao kila Siku tunashinda na Usununu / Hasira kwakuwa Timu letu la Simba SC lipo lipo tu.

Nilidhani GENTAMYCINE nikiwa nawajambisha/ nawacharura Yanga SC Kutwa hapa JamiiForums basi kule Kwangu Simba SC watatumia kama Faida Kwao na Kujiimarisha na Kujijenga zaidi lakini wapo vile vile Wakishangilia na Wakijivunia kufika Robo Fainali CAFCL mara Nne utadhani ni Ufahari wakati ni Upuuzi na Utoto mtupu.

Muda wowote ule kuanzia sasa GENTAMYCINE nitatangaza kuwa Mshabiki Huru (Neutral Fan) wa Mpira (hasa Soka la Tanzania) na sitokuwa naipaisha tena Simba SC hapa JamiiForums na badala yake nitasubiria Timu ya Biashara United FC ya Kwetu Mkoani Mara (Musoma) ipande Daraja (irejee Ligi Kuu ya NBC) niishabikie kwa Nguvu zangu zote za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi ila siyo huku kwa Wapuuzi na Waswahili Simba SC.

Wakati Yanga SC yenye Mtu makini Rais Injinia Hersi Said wao Kikosi chao akipumzika Aucho anayeingia ni Sure Boy (yaani Chuma kwa Chuma) huku Kwetu akina GENTAMYCINE Simba SC akitoka Muzamiru Yasini anayeingia ni Nasorro Kapama (yaani kinatoka Chuma kinaingia Bati) hapa unategemea uyafikie Mafanikio ya Yanga SC kweli?

Leo GENTAMYCINE sijaumia tu mpaka Kuandika haya bali pia nina Hasira (Usununu) mno kwani kwa kupitia Mkono wangu wa Kiuandishi hapa JamiiForums nimekuwa nikijitahidi vilivyo kutoa Ushauri wangu wa Kiufundi, Kimchezo na Kiutawala kwa Uongozi wa Simba SC ila hawauchukui na wanafanya yao kisha wanaharibu na baadae tunakuja Kuchekwa wote.

GENTAMYCINE leo ni wa kuwa mpole hivi hapa JamiiForums? Nilikuwa Nikitamba hapa nikijua Simba SC yangu itaimarika lakini hakuna lolote.

Leo GENTAMYCINE ni wa Kuingia Ghettoni Kwangu Usiku na kutoka Asubuhi kwa Kunyata na Kujificha kama Wezi wa Mafuta Yard za Bandarini Kurasini?

Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again', CEO Imani Kajula na Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu kiukweli mnatutesa na mnatudhalilisha wana Simba SC mpaka tunachekwa hovyo JamiiForums na Kwingineko huku GENTAMYCINE kila Siku tu nikibuni njia mpya za kupita ili niwakwepe wana Yanga SC.

Siwezi kuwa mwana Yanga SC japo nitawapongeza na nawapongeza kwa kufanya Kwao vizuri hivi Kimataifa kwani wanazidi tu Kutuumbua wana Simba SC wenye Roho Mbaya na Wivu juu yao ( GENTAMYCINE nikiwemo ) ila kuliko Kuumia na Kuteseka Kutwa hivi hadi napungua Uzito huku Kichwa changu Kikiongezeka ukubwa kama Spika za Sikinde ni bora niwe Neutral Kiushabiki na Kiuchambuzi.

Timu Kubwa Wachezaji wake wa Akiba wanaweza kuwa kama hawa Wafuatao.....?

1. Nassoro Kapama
2. Habib Kyombo
3. Ishmael Sawadogo (ambaye hakuwa na Timu mwaka mzima)
4. John Boko ( Babu Kigagula )

Wana Simba SC wa JamiiForums leo mtanisamehe kama nitawakwaza kwa huu Uzi wangu, ila ifike muda na Sisi sasa tuamke tuache kuwa Mazuzu (Mipumbavu) na tumpe Ukweli Mwekezaji Wetu Mo Dewji kuwa kama hawezi Kujitoa kuipambania Simba SC yetu kama afanyavyo Gharib Said Mohammed (GSM) basi Pumbavu zake atuachie upesi Simba SC yetu na tumkabidhi mwana Simba SC lia lia Tajiri wa Kweli Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika, Duniani na hadi Mbinguni Mzee Said Salim Bakhressa Timu (Simba SC) ambayo yuko tayari kuweka Shilingi Bilioni 50 za Uhakika kuliko zile Shilingi Bilioni 20 za Kiini Macho tunazodanganywa zimewekwa wakati hata Benki zote za Tanzania si tu hazipo bali hazionekani kabisa.

Hongera Yanga SC kwa Ushindi wa Jana dhidi ya Marumo Gallants FC na nawatakieni kila la kheri katika Mchezo wenu wa marudiano ili mshinde, muingie Fainali na mbebe Kombe kabisa la CAFCC.

Inshaallah / Amen.
Kwani una mchango gani kwa timu? Kaa pembeni na wala hakuna atakae hisi lolote.
 
Kameze dawa haraka sana
 
Wewe Genta

Haya mambo huwa yanaratibiwa yawe yalivyo !yaani kuna zama za yanga na zama za simba !hutegemea big boss anaeoperate state no shabiki wa tim gani kati ya hizo mbili!!

KWA SASA ni Mr smile na mpenzi wa hao jamaa lazima Mo ataambiwa atulie ILI kuipaisha yanga kama hivo!!

Unamkumbuka ismael adenrage aliwahi ambiwa na kiongozi mkubwa sana kua amuache mchezaji fulani aende yanga na kweli alienda hata kama simba alikua na pesa inayotosha kumsajili mchezaji huyo!!

Ni HIVYO tu!!

Fitina na uswahili wa simba kwasasa ni plan na inafanya kazi sawa SAWA!!!
Umeongea booonge la point na inasikitisha wachache watazingatia hili ulilosema. Mimi huwa sishangazwi wala kuumizwa sana na yale yanayotokea kwenye mpira wetu kwa sababu ya hichi ulichosema. Timu inaweza kupigwa pini isifurukute, huku mitaani watu wanatukana tu hawajui kinachoendelea.
 
Usikute Genta ni group la watu kadhaa wanapeana access ya hii account, Kuna muda anatema facts za kisayansi na anasepa na Kijiji Chake......

Kuna mda anaanza mambo ya uchawi, uganga na figisu, anasepa na Kijiji Chake,...

Kuna mda analeta mada za kudinyana na anasepa na kijiji chake..

Tutakupa maua yako Dr Genta
GENTAMYCINE ni Mtu Mmoja na nashukuru hata JamiiForums Founder ananijua ndani nje bila kusahau na Members kadhaa niliosoma nao SAUT Mwanza na Ndugu zangu Wawili ( Wadogo zangu ) wa damu wakiongozwa na steveachi na Marafiki zangu Wakubwa Wawili Ofisi ya Rais ( TISS Agents ) na Wanajeshi Wawili wa Vyeo vya Captain na Major ( wote wakiwa idara ya Usalama Jeshini JWTZ )

Ulichokisahau na pengine ndiyo maana unahisi hii ID yangu tukuka hapa JamiiForums ya GENTAMYCINE ni Kikundi cha Watu ni kwamba Mimi Kiasili ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na nje ya hapo nina Natural Charm ya Kipekee hivyo inanifanya nikubalike, nifuatiliwe na niwe na Mvuto wa Kiuwasiliishaji hapa.
 
Back
Top Bottom