Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Na wote tuseme AMEN
 
inabidi uchunguzwe kwanza huenda wewe ni wakala wa shetani au wakala wa matambiko ya kisukuma..
tangaza interest kwanza..
 
Mchungaji umechemka uo unabii wako ni fake.Usimzingizie mungu.
 
Sijui mnafundishwaje biblia enyi wagalatia,huyu joyce pepo mbaya ndio unamfananisha na nabii?
 
umenifanya nikumbuke kawimbo kutoka kwenye maandiko yasemayo: "Inua macho yako utazame pande zote, wote wanakusanyana na kukuijia wewe' japo sikumbuki yako kitabu gani.
 
Bwana Yesu akubariki sana. Umeandika ktk lugha ya kinabii mno ndo maana wengi wana kushambuliwa. Hawajakuelewa
 
😡😡😡, naona kaamua kutuchekesha au laaa watoto wa mjini wanasema ,,,, anatafuta KiKiiiiiiiiiiii.......😑😑
 
Hivi nabii angepitisha yaliyofanywa na Jecha,na kusema Jecha anastahili tuzo,jamani msimdhihaki mungu jamani.
 
Bwana Yesu akubariki sana. Umeandika ktk lugha ya kinabii mno ndo maana wengi wana kushambuliwa. Hawajakuelewa

kweeliii kheeee....?????Lugha ya Kinabii.....???? nabii yupi ???maana nyakati za mwisho watakuja wengi kwa jina LANGU, wakiwapotosha wengi.....!!!siyo huyu kweli....???
na wale manabii wa uwongo ni wapi....???? unabii ni sharti uchunguzwe ili uthibiteke..... Mwacheni YESU jamaniii, ongeeni yanayowahusu.....
 




Ni upumbavu wa kiwango cha PhD kutoa ulinganifu wa kibiblia/kinabii juu ya utawala huu bila ya "kuquote" walau mstari mmoja toka kwenye biblia ili kujaribu kuipa nguvu hoja yako.Acha kuvitaja Vitabu vya dini katika mambo ya kipuuzi.
 
Usirudie kuhusisha biblia na mambo ya kipumbavu pumbavu.

Nilitegemea ungesindikiza na andiko katika biblia kuaindikiza hoja yako. Kumbe unaleta story za kipumbavu pumbavu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Supermarket umemwaga mchele kwenye shazi la kuku[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
WanaJF hili mulifikirie,huu ndo ukweli halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…