Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Katika utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo sheria,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wote tuseme AMENHabarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA
umenifanya nikumbuke kawimbo kutoka kwenye maandiko yasemayo: "Inua macho yako utazame pande zote, wote wanakusanyana na kukuijia wewe' japo sikumbuki yako kitabu gani.Habarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA
Hapa nafasi yangu ya Utumishi ni kubwa sana____hata unipe Uwaziri cwezi kubali.kwendraaaa unatafuta uteuzi ww
Hivi nabii angepitisha yaliyofanywa na Jecha,na kusema Jecha anastahili tuzo,jamani msimdhihaki mungu jamani.Rais Magufuli hana chembe yoyote ya Ukristo,Uislamu,Unabii wala Utume!
Rais anayefanishwa na Dikteta hawezi kuhusishwa na mambo ya Kiungu.
Tayari mpaka ameingia kwenge mgogoro na Waislamu kwa kufanya Teuzi zenye upendeleo wa uwiano wa 90% Wakristo kwa 10% ya Waislamu!
Nani hajui kuwa JPM kashinda Uchaguzi kwa njama za NEC na CCM yake? Rais anayeligawa Taifa kwa UDINI,UKANDA na SIASA za KI- CCM hawezi kuwa kawekwa na Mungu!
Bwana Yesu akubariki sana. Umeandika ktk lugha ya kinabii mno ndo maana wengi wana kushambuliwa. Hawajakuelewa
Habarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA
Usirudie kuhusisha biblia na mambo ya kipumbavu pumbavu.Habarini watanzania wote!!!!!!!

Mungu anakuona [emoji144] [emoji144] [emoji144]Usirudie kuhusisha biblia na mambo ya kipumbavu pumbavu.
Nilitegemea ungesindikiza na andiko katika biblia kuaindikiza hoja yako. Kumbe unaleta story za kipumbavu pumbavu
nimekupeza sana bro wangu mkubwa, vipi lakini!?Huyu Mungu huyu anasingiziwa mengi na kubebeshwa mizigo mingi
WanaJF hili mulifikirie,huu ndo ukweli halisi.Rais Magufuli hana chembe yoyote ya Ukristo,Uislamu,Unabii wala Utume!