Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kila mtu ana njaa ila ya huyu mmwaga sifa imezidi kiwango!
 
Bila shaka atakuwa ni rais bora zaidi wa mwaka 2016 katika ofisi za Lumumba,kama alivyo rais wa simba na tff.
 
Njaa mbaya sana
Na ndio inafanya waafrika tujishushie heshima.
Kiongozi wa hovyo mno kuwahi kutokea.
Njaa tu zinakusumbua rais kudhibiti hayo mambo unasema kiongozi wa hovyo, nyie ni walewale tu mlizoea vya dili
 
Kama wateule wake ni miungu (mf. mungu wa Dar), basi JPM ana uwezo na umilele zaidi ya hapo.
 
  • viongozi wetu wakuu wa awamu ya 5(President,Vice President and Prime minister), I hereby congratulate you for the excellent job you are doing for the best ends of our great nation TZ. Kwa muda wa mwaka 1 mnefanya KAZI KUBWA SANA na NZURI SANA. Kila mtu mwenye akili timamu anajua hilo. Nchi yetu sasa inaheshimika duniani kote, hata akina Trump wanaiga sera za kubana matumizi na matumizi mazuri ya national resoures za nchi. Mafisadi wengi wamebanwa sasa wanapiga mayowe. Hizo ni kelele za milango tu. Tumewapa mamlaka kwa kura zetu, endeleeni kuwabana na kuwatumbua ili nchi INYOKE. Huku mtaani sasa tunaheshimiana. Ombi: Msirudi nyuma hata nusu hatua. Kasi hii iendelee, bila kuogopa wala kugeuka nyuma. TZ kama nchi ya maziwa na asali kwa kila mtanzania inakuja. Nawatakia Xmas njema na mwaka mpya. God bless you!
 
NONSENSE
 
Fikiri kabla ya kutenda mitaani haso imezidi uwezo
 
hii thread inatosha kujua unamiliki card ipi ya chama kati ya vyama vya siasa vilivyopo Tz
na pia nishajua unakoelekea..ila usijali wako humu watakusikia na suala lako watalifanyia kazi mkuu..
 
Fikiri kabla ya kutenda mitaani haso imezidi uwezo

Tatizo ulizoea kushinda mtaani kucheza draft.

Wenzako tunafanya hustling tunapiga hela za kutosha. Hii ni awamu ya kazi.
 
japo kuja mabaya pia kafanya but kiukweli Mh.president amefanya kazi nzuri sana....marry x mass and happy new year my President
 
Acha kutoka povu. Leta hoja(kama unazo) za ku neutralize UKWELI huo. Ukweli utawapeni uhuru. Kuupinga ukweli ni gharama sana. Hongera Magufuli for the good job you are doing. This nation has been in advent for a man like for a long time. God has heard the cry of the common wananchi. You are really the GIFT OF GOD to the common Tanzanians.
 


Very True

Kamtumbua mpaka Maxence Melo

Kweli ni zawadi kwa wanyonge wote wa Tanzania




Mabaya yake na mazuri yake yataonekana tu hata kama hamtatukumbusha

Sasa mkiwa busy kutukumbusha ya upande mmoja tu .....

TUNAPATA MASHAKA!!
 
Kwa moyo wangu wote na kwa furaha ninamshukuru sana Mh Rais Magufuli kwa kuwa mchapa kazi bora kwa mwaka 2016. Amekuwa mfano wa kuigwa na kauli yake hapa kazi tu imeonyesha njia kwa kila kaya ndani ya taifa hili.
Wakati unaingia madarakani mnyonge hakuwa na haki kwa hakika wenye pesa walilitesa taifa ila kwa imani yako mbele ya Mungu wako na kanisa lako na kwa watanzania wote leo sauti ya mnyonge inanguvu kama radi.

Baba tunamshukuru Mungu pamoja na wazee waliokupotisha nec ili uwe kiongozi wa taifa hili. Mimi nasema hawakukosea wala haikuwa kwa bahati ila ukweli nikwamba Mungu alukuchaguwa tangu tumboni mwa mama yako kuliokowa taifa la tanzania. Hakika nasema wewe ndiwe yule ulitabiriwa nakatika wewe Tanzania lazima isimame. Yapo mengi mabaya yanasemwa juu yako ila nina amini mbele ya alie kuleta duniani na alie kuchaguwa ni sawa na wanajilisha upepo.
Tunakushkuru sana mh Rais nikikutakia Merry Chrismas and happy new year. Asante sana Mh Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…