*HAKIKA NITAMCHAGUA TENA 2020*
Kama kuleta nidhamu kwa viongozi, watumishi na watendaji serikalini ni udikteta, basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kuwaondoa watumishi hewa, wanafunzi hewa wa msingi, sekondari na vyuo vikuu; pamoja na kukabiliana na vitendo vya ubadhirifu, ufisadi, ukwepaji kodi, rushwa na upigaji dili serikalini kiasi cha kuokoa mabilioni ya pesa yaliyokuwa yanateketea kila mwezi ni udikteta basi nitamchagia tena *MAGUFULI 2020*
Kama kuongeza madawati mashuleni na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anaekaa chini ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kutoa elimu buree kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kusimamia ukusanyaji mzuri wa kodi kwa kila anayestahili kulipa ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kupinga vitendo vya dhuluma, unyanyasaji na ukandamizaji kwa wanyonge ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
Kama kubana matumizi serikalini na kuzuia safari za nje kwa viongozi zisizo na tija kwa nchi ili kuokoa fedha na kuzielekeza katika miradi ya maendeleo ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI2020*
Kama kuongea ukweli kuhusu mambo mbalimbali, na kuepuka kutoa ahadi na matumaini hewa ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI2020*
Kubwa zaidi kama kukemea utumiaji, uuzaji, uingizaji, usambazaji na utengenezaji wa madawa ya kulevya katika taifa letu la Tanzania ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*
*Mwenyezi Mungu Amlinde Na Kumbariki Mhe Rais Magufuli*