Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mungu aendelee kuwapa uzima viongozi wa Chama hiki, hili waweze kuendelea kuwatumikia WATANZANIA kwa Weledi na hekima Kubwa.........CCM MBELE KWA MBELEEEEEEE
026551b204049d5a1edb038eb7424c8b.jpg
 
Yes yes NA awajaalie hekma na kuiangalia nani kashinda 25/10 /2015 kule zanzibar
 
Hivyo hivyo shikilia hapo hapo, na sisi raia wema tuko nyuma yako usirudi nyuma hata milimeta 1, isitoshe Dunia hii tunaishi mara moja tu hivyo tufunue kila Jiwe kama alivyosema Mzee Slaa na wote wanaoiharibu hii nchi tuwafukuwe hata awe nani kwani baada ya kila kitu kutulia nchi yetu itanyooka na Historia itakupaisha!

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Tubariki Watanzania wema!
 
20170209_123346[1].jpg

Leo saa sita mchana barabara ya Morogoro/India

20170209_123403[1].jpg

Wamebaki wakaid wachache tu .

Nimejionea mwenyewe baada ya kutoruka mjini siku nyingi.
Lile zoezi la kuondoa magurudumu ya wakaidi wanaotumia kwa kukaidi barabara za mwendokasi inaeleka limefanikiwa.
Leo msaa sita mchana sikuona magari yakiwa yamepaki kando ya barabara ya mwendo kasi isipokuwa wakaidi wachache.
Watanzania , kuna lugha inaelekea wanaielewa vizuri!
Magufuli baba kaza uzi, ili nchi iwe na ustaarabu kama wa nchi nyingine duniani.
Hapa kazi tu
 
Mh Rais wala usihofu wala kutetereka.
2020 lazima tukupe kura za ndiyo, uzuri wake kura hizo hazipigwi humu JF. Humu JF wamejaa watu wasiyokwenda hata kupanga mistari ya wakati wa kupiga kura. Wengi humu JF maneno mengiiiiiii lakini hata kujiandikisha huwa hawajiandikishi, wakijiandikisha kura hawapigagi.
Mh Rais nidhamu angalau imerudi, kaza tena ili nidhamu iwe 100%.
Mh Rais watu tulizoe figisufigisu nyingi kwenye utafutaji pesa ( Rushwa, Dawa za kulevya, Wizi fedha za serikali, miradi feki, utekelezaji kazi feki, uchakachuaji, n.k) ndiyo maana mijihela haramu kibao ilija mtaani. Asante kwa kutusaidia kupata CLEAN MONEY.
Magufuli forever 2015-2025, ikiwezekana tutakuongezea tena 10 years ukae madarakani mpaka 2035.
 
NAKUBALI MANENO NA MWANA MUSIC AITWAYE DARASA PALE ANAPOSEMA "WACHA MANENO LETE MUSIC".

NDO NGOMA ANAYOIPIGA RAIS MAGUFULI NA WATU WOTE TUNAICHEZA KWA SASA. TULIZOEA MANENO MANENO BILA VITENDO.

NASEMA PIGA KAZI MKUU, WENYE WIVU WAJINYONGEEE.
 
*HAKIKA NITAMCHAGUA TENA 2020*

Kama kuleta nidhamu kwa viongozi, watumishi na watendaji serikalini ni udikteta, basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

Kama kuwaondoa watumishi hewa, wanafunzi hewa wa msingi, sekondari na vyuo vikuu; pamoja na kukabiliana na vitendo vya ubadhirifu, ufisadi, ukwepaji kodi, rushwa na upigaji dili serikalini kiasi cha kuokoa mabilioni ya pesa yaliyokuwa yanateketea kila mwezi ni udikteta basi nitamchagia tena *MAGUFULI 2020*

Kama kuongeza madawati mashuleni na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anaekaa chini ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

Kama kutoa elimu buree kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

Kama kusimamia ukusanyaji mzuri wa kodi kwa kila anayestahili kulipa ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

Kama kupinga vitendo vya dhuluma, unyanyasaji na ukandamizaji kwa wanyonge ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

Kama kubana matumizi serikalini na kuzuia safari za nje kwa viongozi zisizo na tija kwa nchi ili kuokoa fedha na kuzielekeza katika miradi ya maendeleo ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI2020*

Kama kuongea ukweli kuhusu mambo mbalimbali, na kuepuka kutoa ahadi na matumaini hewa ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI2020*

Kubwa zaidi kama kukemea utumiaji, uuzaji, uingizaji, usambazaji na utengenezaji wa madawa ya kulevya katika taifa letu la Tanzania ni udikteta basi nitamchagua tena *MAGUFULI 2020*

*Mwenyezi Mungu Amlinde Na Kumbariki Mhe Rais Magufuli*
 
Hongera lakini bahati mbaya nafasi zimeisha jaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom