inaonyesha wewe unafuata mkumbo tu watu wako on the mission, sikulaumu, ufahamu wako umefikia ukomo ndo maana hata km1 mbele au nyuma huoni. hao watumishi wengine waliwahi kuonyesha hapa vyeti vyao? nenda utumishi au kwa muajili wake utakuta photocopy zake.Ujinga at the best level, so kudai haki na kusema ukweli ni kupambana na mtu? kwa hiyo rais alivyoweka kampeni kudeal na wafanya kazi fake/vyeti fake alikuwa anapambana na mtu? UJINGA at the best level .....
inaonyesha wewe unafuata mkumbo tu watu wako on the mission, sikulaumu, ufahamu wako umefikia ukomo ndo maana hata km1 mbele au nyuma huoni. hao watumishi wengine waliwahi kuonyesha hapa vyeti vyao? nenda utumishi au kwa muajili wake utakuta photocopy zake.
if you are not paid for this you are assisting someone on his job for free which is pure ignorancy, wake up ndugu, kama raisi alimwambia Mkuu wa wilaya aonyeshe vyeti maana yake anavyo vya wote, there time come mtaonyweshwa na mtazua jambo jengineMost of head has prices, mine DO NOT HAVE!!!! period. Kwa nini Rais alimwagiza yule mkuu wa Wilaya kuonyesha vyeti na kumaliza utata? hiki kitu kina public interest is all, get to your senses, ila nyie mkishapewa kitu kidogo hamtaki kufikiri with the right head.
if you are not paid for this you are assisting someone on his job for free which is pure ignorancy, wake up ndugu, kama raisi alimwambia Mkuu wa wilaya aonyeshe vyeti maana yake anavyo vya wote, there time come mtaonyweshwa na mtazua jambo jengine
wanaokubaliana na hali ua uendeshaji wa nchi ni wachachebaada ya kupambana kwa kila namna kumchafua na kumdhoofisha rc wa DSM ndg Paul na hatimaye dalili zote zinaonyesha kugonga mwamba, naona kundi hilohilo linahamishia mapambano kwa Amiri jeshi mkuu. hivi kweli Hawa watu wana weledi? umshindwe rc uje umuweze raisi? kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
PSE be aware, I have warned, ukipambana na raisi unapambana na nchi nzima.
Angalia usernameAkila za Kibashite bashite
Kwa vile wewe unajua kuliko waoWangejuaaaaa.....