RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
unajua maana ya serikari?zamani tulisingizia viroba
nenda shule ya msingi mungushi ipo wilaya ya hai uangalie kama watt wanakaa juu ya dawati ndo uje uongee upuuzi huu tena
wazazi wameamua kujiongeza wanachonga madawati na shule isharekebisho
ccm haikusaidia chochote pale zaidi ya majungu
Sasa nakutuma...mwambie aliyekutuma kuleta hii ushuzi...mwambie tunataka vyeti vya bwana bashite wa kolomije....umesikianimemaliza kuku
unajua maana ya serikari?zamani tulisingizia viroba
nenda shule ya msingi mungushi ipo wilaya ya hai uangalie kama watt wanakaa juu ya dawati ndo uje uongee upuuzi huu tena
wazazi wameamua kujiongeza wanachonga madawati na shule isharekebisho
ccm haikusaidia chochote pale zaidi ya majungu
tavipa kuku, na vitawaongezea maendeleoSasa nakutuma...mwambie aliyekutuma kuleta hii ushuzi...mwambie tunataka vyeti vya bwana bashite wa kolomije....umesikia
sasa si vizur
unajua maana ya serikari?
dadeki!! hili bango au sifa maana uhalisia mmmhh..!
Hii ndiyo njia sahihi ya kuishi kwa amani utawala wa kidkteta, sifia kila kitu hata kama ni cha kijingaHongera Makonda na Serikali ya JPM
Natoa pongezi zangu za dhati kwa rais wa Jamhuri yetu,Jeshi la polisi,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Baraza la mawaziri,bunge,mahakama kwa kazi nzuri mnayofanya ya kutuletea maendeleo.
Mnafanya jambo zuri sana katika kuwahamasiha wananchi washiriki katika maendeleo ya taiga lao.
Mmewatafutia madaktari ajira nje ya nchi na pia itakuwa vizuri mkiwatafutia na walimu na wengine wasokuwa na ajira.
Vile vile mnajenga maflyover dar es salaam
Mnasapoti wasanii kama vile diamond na shilawadu.Hongereni
Mmepiga vita watumishi hewa,vyeti fake,wala rushwa na kero nyingi
Mmesimamia haki katika mahakama na kuboresha huduma za jamii.
Madaktari wamejaa hospitali.wanafynzi wana walimu wa kutosha mikopo ya chuo inapatikana kwa urahisi na upesi.mishahara imeongezeka maradufu na mfumuko wa bei umepungua.
Rushwa imepungua na haki inatendeka.
Makahaba,mashoga na vibaka wameisha.
Ajita njenje kuanzia ofisini,mashambani na hata viwandani.
Viwanda vinaongezeka na tunazalisha asilimia 75 ya bidhaa tunazotumia kwa ajili ya uzalishaji.
Uwekezaji umekua maradufu.
Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kufuta sheria kandamizi na kutunga sheria ambazo hazilindi watawala bali zina wawajibisha watawala.
Mheshimiwa rais serikali yako ina nguvu imejipanga inajielewa na haina walevi walevi.Wapiga dili wote mmewafunga.
Tunapenda sana viongozi wetu na tuna waomba mkaze buti zaidi kutuletea maendeleo.
Barabara za halmashauri zimetengenezwa vizuri,shule zimerekebishwa,mfuko wa maafa umefanya kazi vizuri kuwasaida wana kagera na wale waliopigwa na mafuriko...
Nature ya kazi zao utahisi wanatumia madaraka vibaya kumbe ni kazi zinawafanya hivo. Tuache chuki Kwa Makonda Kwa sababu ni kijana. Angekuwa mzee aliyeenda age vita isingekuwa hiviVita ya madawa ya kulevya tuna endelea nayo. Lakini hatutaacha Kupambana na viongozi wanaotaka kutumia madaraka yao vibaya .hii haitavumiliwa.
Usitafute utetezi usioukuwa na maana hakuna nature ya kazi isiyokuwa na utaratibu na miongozo. Sheria zifuatwe na utaratibu za kazi zizingatiwe hakutakua na maneno.Nature ya kazi zao utahisi wanatumia madaraka vibaya kumbe ni kazi zinawafanya hivo. Tuache chuki Kwa Makonda Kwa sababu ni kijana. Angekuwa mzee aliyeenda age vita isingekuwa hivi
Nimependa hiyo terminology mkuu...dah kitambo sana,na nilishaisahau.Huyu mdingi Rostock ile mbaya!!!
Hatuta kaa kimya viongozi walipotoshe Taifa Tena kwa taarifa yako kwa sasa tuna mshikamano sana hatuacha Kupiga 'KELELE'Vita ya madawa ya kulevya tuna endelea nayo. Lakini hatutaacha Kupambana na viongozi wanaotaka kutumia madaraka yao vibaya .hii haitavumiliwa.