Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

sasa si vizur
zamani tulisingizia viroba

nenda shule ya msingi mungushi ipo wilaya ya hai uangalie kama watt wanakaa juu ya dawati ndo uje uongee upuuzi huu tena

wazazi wameamua kujiongeza wanachonga madawati na shule isharekebisho

ccm haikusaidia chochote pale zaidi ya majungu
unajua maana ya serikari?
 
Hongera Makonda na Serikali ya JPM

Natoa pongezi zangu za dhati kwa rais wa Jamhuri yetu,Jeshi la polisi,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Baraza la mawaziri,bunge,mahakama kwa kazi nzuri mnayofanya ya kutuletea maendeleo.

Mnafanya jambo zuri sana katika kuwahamasiha wananchi washiriki katika maendeleo ya taiga lao.

Mmewatafutia madaktari ajira nje ya nchi na pia itakuwa vizuri mkiwatafutia na walimu na wengine wasokuwa na ajira.

Vile vile mnajenga maflyover dar es salaam

Mnasapoti wasanii kama vile diamond na shilawadu.Hongereni

Mmepiga vita watumishi hewa,vyeti fake,wala rushwa na kero nyingi

Mmesimamia haki katika mahakama na kuboresha huduma za jamii.

Madaktari wamejaa hospitali.wanafynzi wana walimu wa kutosha mikopo ya chuo inapatikana kwa urahisi na upesi.mishahara imeongezeka maradufu na mfumuko wa bei umepungua.

Rushwa imepungua na haki inatendeka.

Makahaba,mashoga na vibaka wameisha.

Ajita njenje kuanzia ofisini,mashambani na hata viwandani.

Viwanda vinaongezeka na tunazalisha asilimia 75 ya bidhaa tunazotumia kwa ajili ya uzalishaji.

Uwekezaji umekua maradufu.

Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kufuta sheria kandamizi na kutunga sheria ambazo hazilindi watawala bali zina wawajibisha watawala.

Mheshimiwa rais serikali yako ina nguvu imejipanga inajielewa na haina walevi walevi.Wapiga dili wote mmewafunga.

Tunapenda sana viongozi wetu na tuna waomba mkaze buti zaidi kutuletea maendeleo.

Barabara za halmashauri zimetengenezwa vizuri,shule zimerekebishwa,mfuko wa maafa umefanya kazi vizuri kuwasaida wana kagera na wale waliopigwa na mafuriko...
 
dadeki!! hili bango au sifa maana uhalisia mmmhh..!
 
Wanyamwezi wanamsemo mmoja unaitwa "kusyenteka" ndiyo uandishi wako unasura hiyo.
Tena mwenye maarifa ya kugeuzageuza maneno kama wewe, waweza kushinda kutwa nzima na mtu huku ukimla akili na asifahamu chochote.
Yaani tendo lolote lenye mapungufu, wewe waweza kukurupuka na kupiga kekele huku ukisifia safi, safi, safi sana unapiga na makofi. Watu wa aina yako wapo wengi, sishangai.
 
dadeki!! hili bango au sifa maana uhalisia mmmhh..!
Hongera Makonda na Serikali ya JPM

Natoa pongezi zangu za dhati kwa rais wa Jamhuri yetu,Jeshi la polisi,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Baraza la mawaziri,bunge,mahakama kwa kazi nzuri mnayofanya ya kutuletea maendeleo.

Mnafanya jambo zuri sana katika kuwahamasiha wananchi washiriki katika maendeleo ya taiga lao.

Mmewatafutia madaktari ajira nje ya nchi na pia itakuwa vizuri mkiwatafutia na walimu na wengine wasokuwa na ajira.

Vile vile mnajenga maflyover dar es salaam

Mnasapoti wasanii kama vile diamond na shilawadu.Hongereni

Mmepiga vita watumishi hewa,vyeti fake,wala rushwa na kero nyingi

Mmesimamia haki katika mahakama na kuboresha huduma za jamii.

Madaktari wamejaa hospitali.wanafynzi wana walimu wa kutosha mikopo ya chuo inapatikana kwa urahisi na upesi.mishahara imeongezeka maradufu na mfumuko wa bei umepungua.

Rushwa imepungua na haki inatendeka.

Makahaba,mashoga na vibaka wameisha.

Ajita njenje kuanzia ofisini,mashambani na hata viwandani.

Viwanda vinaongezeka na tunazalisha asilimia 75 ya bidhaa tunazotumia kwa ajili ya uzalishaji.

Uwekezaji umekua maradufu.

Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kufuta sheria kandamizi na kutunga sheria ambazo hazilindi watawala bali zina wawajibisha watawala.

Mheshimiwa rais serikali yako ina nguvu imejipanga inajielewa na haina walevi walevi.Wapiga dili wote mmewafunga.

Tunapenda sana viongozi wetu na tuna waomba mkaze buti zaidi kutuletea maendeleo.

Barabara za halmashauri zimetengenezwa vizuri,shule zimerekebishwa,mfuko wa maafa umefanya kazi vizuri kuwasaida wana kagera na wale waliopigwa na mafuriko...
Hii ndiyo njia sahihi ya kuishi kwa amani utawala wa kidkteta, sifia kila kitu hata kama ni cha kijinga
 
Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya. Asema si kazi ya Makonda pekee.Rais Magufulia amesema hakuna wa kuachwa hata akiwa mkewe Mama Janet Magufuli, na kuongeza kuwa wakamatwe bila ya kujali majina yao.Rais Magufuli amesema anamuomba Jaji Mkuu asizicheleweshe kesi za madawa ya kulevya kwani kuna mtuhumiwa mkubwa wa Dawa za Kulevya anashikiliwa Lindi bila ya kufikishwa Mahakamani.Najua IGP Mangu watu walikupigia simu wanakupa ushauri kuhusu Dawa za Kulevya, ungewasikiliza leo usingekuwa IGP.Vita ya dawa za kulevya haina cha umaarufu, haijalishi ni mtoto wa nani anahusika, hata kama ni mke wangu mkamateni.<ll]Wanabodi,Style ya Magufuli ya uongozi wengi hamtaki kuamini. Mheshimiwa rais ni mzalendo wa juu. Hii season Sasa tutakwenda kushuhudia jambo kubwa. Kumbuka matukio yamefuatana kama hivi lilianza la siku ya sheria. Rais alionya mambo makubwa alisema hataki mambo ya kuchelewesha kesi.. Aliashiria kitu.2. Makonda kijana mchapakazi ametoka marekani juzi, amefika akaanza moja kwa moja na hii ishu ya hii vita.3. Kesho yake wanakuja watu wanawatetea Hawa wasanii kwamba tunakwenda eti kuua brand. Kuna waziri ame mbeep mheshimiwa rais.4. Tukio lililofuatia ni sauti za Wakuu wa vikosi. Alianza IGP, kisha kamanda Sirro5. Kwa akili ya kawaida unaona kabisa hawa wasanii wanamilikiwa na wanasiasa fulani vinara wa unga.6. Tukio lililofuatia ni rais akamteua mkuu wa majeshi mpya7. Kisha Akasema kabisa meli ya MV Bagamoyo ya enzi ya awamu ya nne itakuwa ya jeshi kufanya doria. Ikumbukwe baharini ndio unga unapitia sana.8. Kisha makonda akajitokeza kuwapa siku kumi. Wenye uelewa mkubwa wa saikolojia wanajua ki nacho endelea.9. Msumari wa mwisho tutashuhudia mpaka mkuu wa nchi amesema tena kama wewe Tazama serikali yote ilikuwepo ikulu. Hamuoni hii ishu ni kubwa imefikia?My Take: Watanzania tumempata Rais. Tumpe ushirikiano kwa vyombo vyake. Tazama litakalotokea hivi karibuni.. Mark my word. Hakuna rais Tanzania kama Magufuli.Msioamini kuwa hii vita sasa imeanza subirini muone. Hisia zote zinanipeleka jambo kubwa litagusa mpaka vigogo wakubwa. Msishtuke kutajiwa viongozi fulani. Hilo Kwa Sasa Tanzania linatokea.Ma drug dealer Imekula kwenu. Muda mrefu Sasa mmetamba. Ishara zote Sasa wazi . ikumbukwe enzi za kikwete alisema wakitajwa wauza unga nchi inatikisika. Kuna watu hamtaki kujua ndo maana mawakili wanaogopa kupoteza hela za kesi. Jaji mkuu mtumishi wa serikali anafanya kazi Kwa maelekezo ya mkuu wa nchi. Ambaye ni magufuli na yuko wazi serikali Yake taarifa wazi. Yatafuata mengi. Kuna vilio vya kukatiwa umeme.. Hii nchi inanyoshwa vilio lazima viwepo. Kwanini Sasa watu wanatumia nguvu nyingi kutetea watu wengine. Makonda kijana anajua mengi kuhusu hii biashara A to Z.. Someni kwanza katiba mjue nguvu za rais halafu mrudi kudai katiba mpya Kwa KUWA ndio yenyewe mapungufu. Ni kweli hata mimi Ningekuwa Rais nisinge anzisha Mchakato wa katiba mpya Kwa KUWA k wenye taifa wana Maneno mengi. Wanapenda vijimaneno. Serikali ingeachwa ifanye kazi hakuna udikteta wowote nchini. Wajanja wa kinondoni maana ndo mkoa unaongoza Kwa wapiga deal. Kinondoni mmegusa pabaya hii awamu. Keki ya taifa lazima iliwe na wote. Maneno yamekuwa mengi cha ajabu kila mmoja aonekane ameonewa. Mange ajitetee Maslahi yake, gwajima avute upande wake, clouds Wakabe upande Wao hivi great thinker Hamjui kuonganisha dots. Hii ni vita ya madawa yenyewe Sasa. Na kisha Bureau de change kuzingatia kule. Hata mkipiga kelele Kivipi. Tena magufuli alifanya vizuri kumweka nape ili wauza ngada wakibanwa waziri aende pale kupooza Sasa magufuli KASEMA hata skia Maneno Maneno. Serikali hii inatengeneza taifa la mfano. Acheni kukuza mambo tusome nyakati utawala wa DuniA umebadilika hakuna nchi itatoa Msaada. Marekani anafunga misaada Africa tuna safari ndefu. Tanzania tusikubali kupitwa kwenye technology twendeni na magufuli atatutoa. Tuache udaku tujadili idea
Tuhioji serikali mambo ya msingi kama katiba mpya, mshikamano
 
Vita ya madawa ya kulevya tuna endelea nayo. Lakini hatutaacha Kupambana na viongozi wanaotaka kutumia madaraka yao vibaya .hii haitavumiliwa.
Nature ya kazi zao utahisi wanatumia madaraka vibaya kumbe ni kazi zinawafanya hivo. Tuache chuki Kwa Makonda Kwa sababu ni kijana. Angekuwa mzee aliyeenda age vita isingekuwa hivi
 
Nature ya kazi zao utahisi wanatumia madaraka vibaya kumbe ni kazi zinawafanya hivo. Tuache chuki Kwa Makonda Kwa sababu ni kijana. Angekuwa mzee aliyeenda age vita isingekuwa hivi
Usitafute utetezi usioukuwa na maana hakuna nature ya kazi isiyokuwa na utaratibu na miongozo. Sheria zifuatwe na utaratibu za kazi zizingatiwe hakutakua na maneno.
 
Mpenzi mi na wewe acha ibaki tu story mi na wewe, nyimbo nzuri sana hii
Nalog off
 
Vita ya madawa ya kulevya tuna endelea nayo. Lakini hatutaacha Kupambana na viongozi wanaotaka kutumia madaraka yao vibaya .hii haitavumiliwa.
Hatuta kaa kimya viongozi walipotoshe Taifa Tena kwa taarifa yako kwa sasa tuna mshikamano sana hatuacha Kupiga 'KELELE'
 
Back
Top Bottom