Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kwa katiba ipi na Sera zipi kwa sera mlizoandikiwaWakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.
Kwani tulikuwa wapi? Tatizo la huyo jamaa ni kukesha kwenye mataputapuUsiondoke, subiri hapohapo wanakuja
Mbona jina lako kama KIKOJOZI vile...??Mbona hili linafahamika... huyu n rais wa mfano africa na dunia nzima
Huna akili wewe.AKILI HUNA WW NA BIBI ZAKO WOTE
Kama ndiyo hivyo , Tukamfufue Nyerere tumpe mpaka 2100Wakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.
Akamtawale mama yakoWakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.
Hapo ndio ukomo wa fikra zako.Akamtawale mama yako
Umepigwa katerero ya tigo na JONGO PAPAI MKAA sasa kiuno kinakuuma unakuja na ujinga kama huo.Wakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.
Wenzenu walikuwa na akili kama zenu wa mfano wa dunia mwisho wake wakakosa kazi pale TBC1Mbona hili linafahamika... huyu n rais wa mfano africa na dunia nzima
Ukishakuwa utamuonesha mwanao comment zako nadhani atafurahi coz atakuwa amejifunza kitu.Umepigwa katerero ya tigo na JONGO PAPAI MKAA sasa kiuno kinakuuma unakuja na ujinga kama huo.
Bado nije nikupe dozi na mimi.Ukishakuwa utamuonesha mwanao comment zako nadhani atafurahi coz atakuwa amejifunza kitu.
Vip kuhusu mbowe ni kiobgoz bora? Maana hataki kuachia uenyekitKwanza hakuna kiongozi bora anaweza kuvunja katiba,, kama katiba yetu inaonyesha miaka kumi ukomo kwa vipndi viwili vya miaka.mitano lazima ifuatwe.
Labda tufanye kama Russia wao ukishamaaliza muda wako, vipindi viwili vikishapita unaweza kurudi kugombea. Ila pia si vyema kungangania madaraka waachie na wengine waje na mawazo mbadala.
Tubadili Katiba?Wakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.