Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kuna mazuri mengi anayofanya mkuu!!!

Ila hili la kumtetea mhalifu linamharibia sifa!
 
Unampongeza kwa kuongozwa na ziro FA FA FA BASHITE



Swissme
 
Salam ndg zangu.

Kwanza kabisa niweke wazi, mm sina chama. Mm napenda mtu mchapakazi, awe wa CUF, CCM, CHADEMA, nk.

Mh Rais, Dk JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanakuwa na maisha mazuri, si wanyonge, si matajiri.

Toka ameaingia madarakani amekuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya taifa letu. Mh Rais n mkweli sana na yuko wazi.

Watumishi hewa, likizo hewa, pensheni hewa, posho hewa, wanafunzi hewa, mishahara hewa, mikataba hewa siyo vitu vidogo jamani.Tuache uvyama.

Wakurugenzi hewa amewapiga chini wengi kwa makosa mbalimbali yanayoisababishia hasara serikali. Hii siyo hatua ndogo jamani. Haogopi mtu kwa jina lake, cheo chake, historia yake, fedha zake nk. Anapiga chini tu.

Bilioni 800 kulipa mishahara hewa kwa mwaka si hela ndogo. Sasa amezuia. Wapigaji walikuwa wengi sana.

Mtoto wa maskini ambaye amesoma, anakosa kazi. N kwasababu ya watu wachache wajanja wajanja tu, hawajasoma wala nini.

Tukaze buti.
Hebu tusaidie YULE ALONUNUA KIVUKO FEKI alishapigwa CHINI?
 
Yapo mambo wanafanya vizuri na mengine tunaweza sema yamewashinda, mf suala la sukari ni wazi limewashinda wamebaki kuumiza wananchi.
Wakurugenzi waliotumbuliwa kuendelea kulipwa mishahara na posho hili jambo halijakaa vizuri
 
Mkuu Rais toka uingie madarakani wengi walikudhihaki. Lakini kama kiongozi wa taifa uliamini Iko haja ya Nchi kurudi kwenye mstari wa nidhamu.

Sasa wengi wamekuelewa na wameanza kukaa mguu Sawa, hongera kwa hilo. Nashauri usilegeze mwendo.

Mpaka maji waite MMA! [emoji41]
Kazikazi!, ambae hataki ahame Nchi.

Nakubali kukosolewa, si kutukanwa

Amen
 
Hii nguvu mgeitumia kuzalisha Mali tungefika mbali sana. Kazi yenu in kushinda kwenye mitandao mkijipendekeza kwa unafiki mkubwa. Shame on u!
 
Mkuu Rais toka uingie madarakani wengi walikudhihaki. Lakini kama kiongozi wa taifa uliamini Iko haja ya Nchi kurudi kwenye mstari wa nidhamu.

Sasa wengi wamekuelewa na wameanza kukaa mguu Sawa, hongera kwa hilo. Nashauri usilegeze mwendo.

Mpaka maji waite MMA! [emoji41]
Kazikazi!, ambae hataki ahame Nchi.

Nakubali kukosolewa, si kutukanwa

Amen
Kwa lipi? Deni la taifa linapungua au kuongezeka? Matumizi ya kawaida ya serikali yanaongexeka au kupungua? Umri wa kuishi unaongezeka? Pato la wastani kwa raia limepanda? Viwango vya kufaulu vimepanda? Soko la ajira limepanuka? Uhuru wa vyombo vya habari na shughuli za siasa umeongezeka?

Majibu ni hasi sasa pongezi zako ni kumkejeli
 
Wakati baadhi ya Watanzania wasio na nia njema na nchi yetu wanambeza Rais Magufuli! Mataifa ya Ulaya na Afrika nzima wanatamani Rais Magufuli awe Rais Afrika na dunia nzima kutoka na uzalendo wa dhati kutoka moyoni mwake wa kuweka maslahi ya nchi mbele.

Hivyo wanaolalamika ni wale waliozoea kuiba fedha za watanzania sasa nafasi hiyo haipo.Nawaomba Watanzania wote tumwombee na kumuunga mkono Rais wetu kwani mambo aliyoyafanya muda mfupi wa uongozi wake hayajawahi kufanyika kwa karne nyingi.
 
Magufuli keep on riding this country, hadi wanyooke wap******zi hawa
 
Acha ujinga Yesu ni Yesu huwezi mlinganisha na mwanadam!
Yesu alizaliwa na mwanadamu kama ulivyozaliwa wewe!
Naye alitwaa mwili wa nyama kama wako!
Naye alifanyika mwanadamu ili UUNGU wake usiwe kikwazo cha kumuona ana kwa ana.
 
Mkuu hatoki nje lakini anapendwa sana nje, Iwe Kenya, Malawi, Zambia, Uganda ndio kabisa!! kuna bwana mmoja ''mfaransa aliniuliza katika mazungumzo yasio rasmi, kwa kifaransa ... il est Tanzanien .... akimaanisha huyu rais wenu ni mtanzaia kweli? akamalizia kwa kusema ill est tres manifique!!! . Mimi sio mwanasiasa kabisa ila sehemu nyingi ambazo nimepita JPM anapendwa sana bandugu ukweli uswemwe
 
Back
Top Bottom