olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
Nahisi alikua anataka kutuambia anajua kifaransa au ana rafiki mfaransaSababu umeulizwa na mfaransa ndo keshapendwa kote huko?
Eish!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi alikua anataka kutuambia anajua kifaransa au ana rafiki mfaransaSababu umeulizwa na mfaransa ndo keshapendwa kote huko?
Eish!
Anapendwa na wanawake ama wanaume?hata ukisema watu wote huko nje wanampenda bado tunahitaji wanawake ama wanaume!!?Mkuu hatoki nje lakini anapendwa sana nje, Iwe Kenya, Malawi, Zambia, Uganda ndio kabisa!! kuna bwana mmoja ''mfaransa aliniuliza katika mazungumzo yasio rasmi, kwa kifaransa ... il est Tanzanien .... akimaanisha huyu rais wenu ni mtanzaia kweli? akamalizia kwa kusema ill est tres manifique!!! . Mimi sio mwanasiasa kabisa ila sehemu nyingi ambazo nimepita JPM anapendwa sana bandugu ukweli uswemwe
Kinyume chake ndio kimekusukuma kuandika thread hii.
Usiwaongopee ambao hawajatoka.Sio kweli , labda hujawahi toka.... nimetoka na huu ni ushuhuda
Very low of him,only mjinga anaweza kuandika uzi wa namna hii!Sababu umeulizwa na mfaransa ndo keshapendwa kote huko?
Eish!
Mkuu hatoki nje lakini anapendwa sana nje, Iwe Kenya, Malawi, Zambia, Uganda ndio kabisa!! kuna bwana mmoja ''mfaransa aliniuliza katika mazungumzo yasio rasmi, kwa kifaransa ... il est Tanzanien .... akimaanisha huyu rais wenu ni mtanzaia kweli? akamalizia kwa kusema ill est tres manifique!!! . Mimi sio mwanasiasa kabisa ila sehemu nyingi ambazo nimepita JPM anapendwa sana bandugu ukweli uswemwe