Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais wangu Magufuri songa mbele. Wengi tunakusasapoti.

Tunafahamu ili nchi hii ijengwa tunapaswa tuumie kwanza. Kwa mfano mwaka huu watu vwamechapa kazi Kwan kweli. Huko vijijini hata waliokataa kulima miaka ya nyuma mwaka huu wamelima. Mama hukupenda siasa. Umewaambia watu serikali haina shamba. Wasipolima watakufa. Hiyo ilikuwa safi sana. Zamani walikuwa wanaambiwa serikali iko na chakula cha kutosha.

Nchi za ulaya waliumia kwa kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi na sasa hawataki kutuona tukienda kufaidi matunda yao.

Wamarekani hata sasa wanaendelea kuumia kwa kulipa kodi nyingi kugharamia jeshi na huduma za jamii. Leo hii wameweka conditions ngumu kuingia kwao. Kuingia marekani ni mchakato bali kuingia Tanzania ni ishu ndogo sana. Hawataki kuona mtu anafaidi matunda yao. Leo hii waafrika wengi tunataka tuende marekani na ulaya kufaidi matunda ya uchumi watu tusiyoujenga. Mgeni yeyote kwa marekani na wait wa ulaya ni kama adui.

South Africa wamehangaika kutafuta uhuru wao kwa jasho na sasa hawatutaki.

Tumuunge mkono Rais wetu Magufuri katika kujenga nchi yetu. Tukubari kuumia kwa muda.

NB. Nikiwa Kama mwanaccm sioni haja ya rais wangu kuendelea kuwakumbatia Gambo na Makonda. Kazi unazofanya mh. Rais zinaonekana. Wanachofanya hawa watu wawili ni ujinga name umbumbumbu. Kura zetu hazitaongezeka kwa kuwachukia wapinzani. Kura zetu zitaongezeka kwa kufanya maendeleo. Maendeleo yanayofanywa chini ya serikali ya awamu ya tano yanaonekana na watu wote.

Kisha mh. Rais huyu Makonda ndiyo yuko na matatizo makubwa kuliko. Ningekuwa ni mm ningeonyesha cheti au ningejihudhuru tu.

Mwisho mh. Rais uhakiki uliofanywa bado hauko fair. Viongozi wote wa kiserikali isipokuwa wabunge wakaguriwe na kupewa adhabu stahiki.
Mjinga, sema uko nyuma yake. Acha sweeping statements, eti, tuko, na nani? Wengi akina nani? Sema mimi...
 
Rais wangu Magufuli songa mbele. Wengi tunakusasapoti.

Tunafahamu ili nchi hii ijengwe tunapaswa tuumie kwanza. Kwa mfano, mwaka huu watu wamechapa kazi kweli. Huko vijijini hata waliokataa kulima miaka ya nyuma mwaka huu wamelima. Maana hukupenda siasa. Umewaambia watu serikali haina shamba. Wasipolima watakufa. Hiyo ilikuwa safi sana. Zamani walikuwa wanaambiwa serikali iko na chakula cha kutosha.

Nchi za Ulaya waliumia kwa kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi na sasa hawataki kutuona tukienda kufaidi matunda yao.

Wamarekani hata sasa wanaendelea kuumia kwa kulipa kodi nyingi kugharamia jeshi na huduma za jamii. Leo hii wameweka conditions ngumu kuingia kwao. Kuingia Marekani ni mchakato bali kuingia Tanzania ni ishu ndogo sana. Hawataki kuona mtu anafaidi matunda yao. Leo hii waafrika wengi tunataka tuende marekani na Ulaya kufaidi matunda ya uchumi watu tusiyoujenga. Mgeni yeyote kwa marekani na wait wa ulaya ni kama adui.

South Africa wamehangaika kutafuta uhuru wao kwa jasho na sasa hawatutaki.

Tumuunge mkono Rais wetu Magufuli katika kujenga nchi yetu. Tukubari kuumia kwa muda.

NB: Nikiwa Kama mwanaccm sioni haja ya rais wangu kuendelea kuwakumbatia Gambo na Makonda. Kazi unazofanya mh. Rais zinaonekana. Wanachofanya hawa watu wawili ni ujinga na umbumbumbu. Kura zetu hazitaongezeka kwa kuwachukia wapinzani. Kura zetu zitaongezeka kwa kufanya maendeleo. Maendeleo yanayofanywa chini ya serikali ya awamu ya tano yanaonekana na watu wote.

Kisha mh. Rais huyu Makonda ndiyo yuko na matatizo makubwa kuliko. Ningekuwa ni mm ningeonyesha cheti au ningejihudhuru tu.

Mwisho mh. Rais uhakiki uliofanywa bado hauko fair. Viongozi wote wa kiserikali isipokuwa wabunge wakaguriwe na kupewa adhabu stahiki.
Kura haziongezeki kwa kuchukia Wapinzani, ztaongezeka kwa kufanya Maendeleo". Ni kweli
 
Mtoa post. Ni uchumi upi unsuzungumzia ww...? Ww sema upo ww nyuma yake.. usisemee nafsi za watu
 
Rais wangu Magufuli songa mbele. Wengi tunakusasapoti.

Tunafahamu ili nchi hii ijengwe tunapaswa tuumie kwanza. Kwa mfano, mwaka huu watu wamechapa kazi kweli. Huko vijijini hata waliokataa kulima miaka ya nyuma mwaka huu wamelima. Maana hukupenda siasa. Umewaambia watu serikali haina shamba. Wasipolima watakufa. Hiyo ilikuwa safi sana. Zamani walikuwa wanaambiwa serikali iko na chakula cha kutosha.

Nchi za Ulaya waliumia kwa kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi na sasa hawataki kutuona tukienda kufaidi matunda yao.

Wamarekani hata sasa wanaendelea kuumia kwa kulipa kodi nyingi kugharamia jeshi na huduma za jamii. Leo hii wameweka conditions ngumu kuingia kwao. Kuingia Marekani ni mchakato bali kuingia Tanzania ni ishu ndogo sana. Hawataki kuona mtu anafaidi matunda yao. Leo hii waafrika wengi tunataka tuende marekani na Ulaya kufaidi matunda ya uchumi watu tusiyoujenga. Mgeni yeyote kwa marekani na wait wa ulaya ni kama adui.

South Africa wamehangaika kutafuta uhuru wao kwa jasho na sasa hawatutaki.

Tumuunge mkono Rais wetu Magufuli katika kujenga nchi yetu. Tukubari kuumia kwa muda.

NB: Nikiwa Kama mwanaccm sioni haja ya rais wangu kuendelea kuwakumbatia Gambo na Makonda. Kazi unazofanya mh. Rais zinaonekana. Wanachofanya hawa watu wawili ni ujinga na umbumbumbu. Kura zetu hazitaongezeka kwa kuwachukia wapinzani. Kura zetu zitaongezeka kwa kufanya maendeleo. Maendeleo yanayofanywa chini ya serikali ya awamu ya tano yanaonekana na watu wote.

Kisha mh. Rais huyu Makonda ndiyo yuko na matatizo makubwa kuliko. Ningekuwa ni mm ningeonyesha cheti au ningejihudhuru tu.

Mwisho mh. Rais uhakiki uliofanywa bado hauko fair. Viongozi wote wa kiserikali isipokuwa wabunge wakaguriwe na kupewa adhabu stahiki.
Tuko nae bega kwa bega,
 
Usikae nyuma yake..kuwa sambamba nae umshauri utakapoona amepotea..!!!
 
Mbona unasemea nafsi za watu? Hii ya kujipendekeza itakutokea puan.
Vikwazo vya maendeleo Tanzania
1.CCM
2. UJINGA
3.MARADHI
4.MARADHI
*Misiba siku hizi imekuwa mitaji ya ccm. Rambi rambi zote wanabeba ccm. Kiufupi (ccm anaratibu misiba siku hizi). HII LAANA ITAWATAFUNA MILELE
ENDELEA KUWA NYUMA YAKE TU
 
Salam sana wana jamvi,

Pamoja na kunyimwa Bunge mubashara, bado Binafsi nina mkubali sana Mh Rais kwa utendaji wake na ushupavu katika kuyasimamia matendo yake. Nakumbuka pindi nasoma kuna mada zilikuwa zinatusumbua sana darasani/ chuoni , ugumu ulitokea katika pindi za tafiti, na bado mapendekezo yalikuwa hayatendewi haki. Kwa namna moja au nyinyine bado tuna amini kuwa Tanzania inakusubiri kwa hamu kusikiliza tamko la Taifa juu ya ule mchanga uliokuwa unasafirishwa kila mwaka. Huwa nina jiuliza ni uwendawazimu gani wa mtu au kampuni itakuwa nao katika kusafirisha mali ghafi isiyokuwa na faidi toka Taifa moja hadi nyingine bila faida yeyote? Bila shaka hili lilikuwa ni changa la macho. Hii aingii akilini, tuna amini njia itaonekana na majibu tutayapata . Kwa kweli tuna amani ya kwamba Taifa lilikuwa linapoteza mapato mengi na tuna amini ya kwamba utawala wa wa awamu ya TANO utasaidia sana kurudisha taswira ya misingi ya uchumi wenye kuzingatia mapato yatokanayo na rasilimali zake na hivyo ukuaji na uendelevu wa uchumi wetu. pia kupitia Tanzania: Country Lost U.S.$2.13 Billion Due to Tax Holiday - Report tunaweza kupata taarifa zaidi na hivyo mikakati zaidi ya kufunga mianya ya upotevu wa mapato inahitajika.

Najongea kwenye TV kusikiliza report
 
Kiukweli ni chungu sana lakini inaponyesha,naomba aendelee tu hivyo hivyo lakini asizidishe maana atatuova dozi
 
Back
Top Bottom