Hebu tusaidie YULE ALONUNUA KIVUKO FEKI alishapigwa CHINI?Salam ndg zangu.
Kwanza kabisa niweke wazi, mm sina chama. Mm napenda mtu mchapakazi, awe wa CUF, CCM, CHADEMA, nk.
Mh Rais, Dk JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanakuwa na maisha mazuri, si wanyonge, si matajiri.
Toka ameaingia madarakani amekuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya taifa letu. Mh Rais n mkweli sana na yuko wazi.
Watumishi hewa, likizo hewa, pensheni hewa, posho hewa, wanafunzi hewa, mishahara hewa, mikataba hewa siyo vitu vidogo jamani.Tuache uvyama.
Wakurugenzi hewa amewapiga chini wengi kwa makosa mbalimbali yanayoisababishia hasara serikali. Hii siyo hatua ndogo jamani. Haogopi mtu kwa jina lake, cheo chake, historia yake, fedha zake nk. Anapiga chini tu.
Bilioni 800 kulipa mishahara hewa kwa mwaka si hela ndogo. Sasa amezuia. Wapigaji walikuwa wengi sana.
Mtoto wa maskini ambaye amesoma, anakosa kazi. N kwasababu ya watu wachache wajanja wajanja tu, hawajasoma wala nini.
Tukaze buti.
Wakurugenzi waliotumbuliwa kuendelea kulipwa mishahara na posho hili jambo halijakaa vizuriYapo mambo wanafanya vizuri na mengine tunaweza sema yamewashinda, mf suala la sukari ni wazi limewashinda wamebaki kuumiza wananchi.
Kwa lipi? Deni la taifa linapungua au kuongezeka? Matumizi ya kawaida ya serikali yanaongexeka au kupungua? Umri wa kuishi unaongezeka? Pato la wastani kwa raia limepanda? Viwango vya kufaulu vimepanda? Soko la ajira limepanuka? Uhuru wa vyombo vya habari na shughuli za siasa umeongezeka?Mkuu Rais toka uingie madarakani wengi walikudhihaki. Lakini kama kiongozi wa taifa uliamini Iko haja ya Nchi kurudi kwenye mstari wa nidhamu.
Sasa wengi wamekuelewa na wameanza kukaa mguu Sawa, hongera kwa hilo. Nashauri usilegeze mwendo.
Mpaka maji waite MMA! [emoji41]
Kazikazi!, ambae hataki ahame Nchi.
Nakubali kukosolewa, si kutukanwa
Amen
Radhi, utaisubiri sana mtaalam!mleta mada hebu tutake radhi upesi.
Acha ujinga Yesu ni Yesu huwezi mlinganisha na mwanadam!Mnahamu awe yesu kabisa!!!
Mna kufuru nyie watu!!!
Yesu alizaliwa na mwanadamu kama ulivyozaliwa wewe!Acha ujinga Yesu ni Yesu huwezi mlinganisha na mwanadam!