Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ukiingia ndani kabisa ya moyo yako, ukatafakari kwa kina, unadhani una hakika kiasi gani na ulisemalo?
 
title nilifikiri ni jukwaa la mapenzi

nimewaza sana ni nani?

sema hasafiri bana, sio kuwa hatoki nje, tunawaza mbali hasa mimi mwenye hako katabia!!


Magufuli atapendwa tu..hamna namna, nampenda Trump, Putin lakini sijawahi kumuona, iko hivyo
 
Just know everytime you write bullshit a single demon is released in the form of a new crazy ass government policy.
 
Si mkanywe naye chai? Sasa unatangaza kuwa anapendwa "nje" ili iweje? Aongeze maslahi ya watumishi,aache u-uchwara,aache u-Chat.ho na u-Bashite ili apendwe "ndani"
 
Kinyume chake ndio kimekusukuma kuandika thread hii.
 
Kama kweli anaoendwa... angalia aina ya viongozi wanaomtembelea...
Ingetakiwa mataifa makubwa russia.. america..UK .. europe waje huku...
Unatembelewa na kina Zuma, kagame,museven.. ndio umependwa dunia nzima..
Hata kama ni sifa mmezidisha
 
Mbona mnatokwa povu? JPM is loved .....period upende usipende..... kama kuna challenges tunazo tuzifanyie kazi lakini ukweli ni ukweli ..... watu wanasema kama ingekua inawezakana kubadili viongozi wangefanya hivyo ili wampate huyu wetu.... ukweli mchungu
 
Anapendwa na wanawake ama wanaume?hata ukisema watu wote huko nje wanampenda bado tunahitaji wanawake ama wanaume!!?
 
Hv hujui kuwa kuna wanafiki duniani huyo kagame rafiki yakr lakin mmoja wapo ni mnafiki
 
Ukoloni ulikuharibu yaani kasifia mzungu nawe umekubali ni sawa bila kutumia uelewa wako?!
 


Utafiti wako wa mfaransa mmoja kisha unaleta bandiko la majumuisho una mapungufu makubwa sana! Jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…