Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mjinga, sema uko nyuma yake. Acha sweeping statements, eti, tuko, na nani? Wengi akina nani? Sema mimi...
 
Kura haziongezeki kwa kuchukia Wapinzani, ztaongezeka kwa kufanya Maendeleo". Ni kweli
 
Mtoa post. Ni uchumi upi unsuzungumzia ww...? Ww sema upo ww nyuma yake.. usisemee nafsi za watu
 
Tuko nae bega kwa bega,
 
Usikae nyuma yake..kuwa sambamba nae umshauri utakapoona amepotea..!!!
 
Mbona unasemea nafsi za watu? Hii ya kujipendekeza itakutokea puan.
Vikwazo vya maendeleo Tanzania
1.CCM
2. UJINGA
3.MARADHI
4.MARADHI
*Misiba siku hizi imekuwa mitaji ya ccm. Rambi rambi zote wanabeba ccm. Kiufupi (ccm anaratibu misiba siku hizi). HII LAANA ITAWATAFUNA MILELE
ENDELEA KUWA NYUMA YAKE TU
 
Salam sana wana jamvi,

Pamoja na kunyimwa Bunge mubashara, bado Binafsi nina mkubali sana Mh Rais kwa utendaji wake na ushupavu katika kuyasimamia matendo yake. Nakumbuka pindi nasoma kuna mada zilikuwa zinatusumbua sana darasani/ chuoni , ugumu ulitokea katika pindi za tafiti, na bado mapendekezo yalikuwa hayatendewi haki. Kwa namna moja au nyinyine bado tuna amini kuwa Tanzania inakusubiri kwa hamu kusikiliza tamko la Taifa juu ya ule mchanga uliokuwa unasafirishwa kila mwaka. Huwa nina jiuliza ni uwendawazimu gani wa mtu au kampuni itakuwa nao katika kusafirisha mali ghafi isiyokuwa na faidi toka Taifa moja hadi nyingine bila faida yeyote? Bila shaka hili lilikuwa ni changa la macho. Hii aingii akilini, tuna amini njia itaonekana na majibu tutayapata . Kwa kweli tuna amani ya kwamba Taifa lilikuwa linapoteza mapato mengi na tuna amini ya kwamba utawala wa wa awamu ya TANO utasaidia sana kurudisha taswira ya misingi ya uchumi wenye kuzingatia mapato yatokanayo na rasilimali zake na hivyo ukuaji na uendelevu wa uchumi wetu. pia kupitia Tanzania: Country Lost U.S.$2.13 Billion Due to Tax Holiday - Report tunaweza kupata taarifa zaidi na hivyo mikakati zaidi ya kufunga mianya ya upotevu wa mapato inahitajika.

Najongea kwenye TV kusikiliza report
 
Kiukweli ni chungu sana lakini inaponyesha,naomba aendelee tu hivyo hivyo lakini asizidishe maana atatuova dozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…