Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kama pale bandarini katemesha mzigo watu kibao yani.ila tutaheshmiana tu awamu hii!
 
Namuombea Mungu, huu ni zaidi ya ukarimu na nina amini tutafika mbali hata ukikanyaga nchi nyingine baada ya miaka kadhaa tutatembea kwa mbwembwe
 
Watu wameanza kukimbiwa na vimada,wameona mtumishi wa umma hailipi.
 
Moderator mnanionea sana! Uzi wangu ni tofauti sana na huu ila mmeuunga pamoja na huu mchezo wa kila uchambuzi wangu mnaunganisha sio fair! Tuambiane mnataka nani awe mchambuzi na nani hamtaki?
 
Last edited by a moderator:
Sleeping giant is now awake lazima wataisoma namba tulizalauliwa sana as a nation
 
Magufuli kwa ustadi kabisa kaanza kwa kasi kutekeleza ilani ya chadema kama kukataa misafara, kufuta sherehe za kipuuzi na kuelekeza pesa kwenye jamii, kinachofata sasa Magufuli futa kile kibatari cha kichawi wakati tukisubiri ahadi yako ya
laptop kwa kila mwalimu
mil 50 kwa kila kijiji
ujenzi wa Reli
ufufuaji wa viwanda na ajira mil 1.5 kila mwaka.

naiona ilani ya magamba iko kabatini huku ikitekelezwa ya chadema
 
Ndio hivyo amemjibu Nape kuwa mahakama ya mafisadi iko palepale
 

Tuendelee kumuombea ila na wakuu wa vyombo vya usalama tafadhal tunawaomba wamuongezee ulinzi.......haiwezekani rais mzima anamsafara wa magari mawili tu......juzi nilipitwa na msafara wake pale red cross had nikaogopa.........hebu tunawaomba watulindue rais wetu jamani!!!
 

yaan kwetu sisi wa tz iwe kaichukua ilani ya ACT...CCK...CDM au yoyote ile sisi maadam anapiga kaz hasa ya kupambana na ufisadi na mafisadi........tunampa big up sana kamanda wetu wa mapambano........all the best sir Pombe.
 
Hiv kwan chadema mna ilani!!?? mbona hatujui hata kava lake tu!? achen kujifariji. Ni ACT pekee ndo tulimkabidhi ilani Mh. Rais na ndo anaipitia na kuitekeleza.. Lkn si mlisema hamumtambui!? iweje mtu msiyemtambua atekeleze ilani yenu ya kufikirika!?????
 
Mkuu kwani ukimkubali tu bila kusema hayo ya ilani ya CDM umesikia kuna mtu atakuona msaliti?? Naona ninyi CDM mmeanza kuelewa sasa!!
 
Kama wewe unasimamia ilani shauri yako,sisi tunacho angalia ni kazi.
 

Naona pole pole mnaanza kumtupia chooni JIPU KUBWA LOWASSA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…