Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli mbele kwa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Natamani ungekuwepo hapa Kigoma ujionee hivyo viinimacho unavyovisema.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpiga porojo mwingine huyu hapa, tena ana wadhifa mkubwa sana ndani ya chama cha wahuni na mafisadi.


 
Kwaiyo ruzuku hawachukui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Miaka 55 Bado Tanzania hata 25% ya eneo lake hakuna Maji safi ya kunywa.

Halafu mijuha mnakuja kutuletea story.Yaani nyie wa kunyongwa tu Majambazi kweli nyie
 
Kama yepi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika upuuzi mtu na ukausakaia kwa paragraph ya mwisho ambayo imechafua zaidi kila ulichoandika. MUNGU akurehemu laki utaishi na matokeo ya dhambi zako!
 
Mwambie aruhusu mikutano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hypocrisy and Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 55 Bado Tanzania hata 25% ya eneo lake hakuna Maji safi ya kunywa.

Halafu mijuha mnakuja kutuletea story.Yaani nyie wa kunyongwa tu Majambazi kweli nyie
Unauhakika na hizo takwimu. Ama na wewe umekurupuka hivyo nawe ni juha mwingine.

Weka chanzo cha takwimu ili usijiunge kwenye kundi la majuha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU MWENYEZI UZIDI KUMPA NGUVU NA MOYO WA KIZALENDO RAIS WETU MPENDWA.

Rais Dr John Pombe Maguri ni Rais tunaye mpenda sana.
Ni Rais ambaye tumemtafuta kwa muda mrefu sana, mara tu baada ya Baba wa Taifa letu, kututoka. Watanzania wazalendo tuliomba kwa MUNGU atupe Rais Mzalendo, anaye zijali rasilimali za nchi yetu, MUNGU akatujibu.

Tupo tunamwombea Rais wetu usiku na mchana Mungu azidi kumpa ujasiri, na moyo wa kizalendo zaidi katika kuiongoza nchi hii. MUNGU azidi kumpa nguvu zaidi, MUNGU azidi kumlinda zidi ya roho mbaya ambazo zipo kinyume naye. MUNGU azidi kumpa macho ya kuona kila mahali palipo kuwa pameharibiwa na awamu za uongozi zilizo pita. MUNGU azidi kumjaza neema yake ya ajabu Rais wetu.

MUNGU ALIYE ZIUMBA MBINGU NA NCHI, apigane na roho za kisiasa, roho za giza, na kila roho za kigaidi ambazo ziko kinyume na uongozi wa rais wetu. Roho zote za kishetani ambazo ambazo ziko kinyume Bwana Mungu wetu pigana nazo, tunazikataa katika taifa hili katika Jina la Yesu.

Baba katika Jina la Yesu tunakushukuru kwa sababu ya wema wako, na upendo wako ulio tuonyesha sisi kwa kutupatia hitaji la mioyo yetu. Tunakurudishia sasa heshima, utajiri, baraka na utukufu ni vyako wewe. mfalme wa wafalme. AMINA
 
Maguri ndo rais wa nchi gani? Unajua Nyosso alichomfanyia Maguri?? Mchochezi utapimwa mkojo

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…