Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Umesahau rambirambi za bukoba na arusha mnafanya chanzo cha mapato ya serikali, toka dunia iumbwe haijawi tokea popote ni tz tu.

Au mzazi wa Ben Saanane utamwambiaje akuelewe kwamba mwanae kuhoji PhD ya mtu inamcost uhai wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaona mtu anaimba mapambio namna hii basi ni dhahiri hakusoma kabisaaa na hana elimu kichwani hivyo kuna vitu vingi vinavyo hitaji elimu kuvielewa na kuona kuwa haviendi yeye hana uwezo wa kuviona kuwa haviedi ndio maana mapambio yanatamalaki.ujinga ni hasara kubwa sana.
 
Sheria itachukua mkondo wake,wasubiri utawala wenu wajenge hadi barabarani
 
we ni mmoja kati ya wapumbavu waliotajwa na mkapa...
 

Napata taabu kuhusisha mafanikio ya serikali Awamu ya 5 na mambo ya kiutabiri na kutazama nyakati. Nyota haihusiki hapa wala mwandamo wa mwezi. Nadhani ni uongozi bora siasa safi na mipango mizuri na si nyota na miezi kupatwa.
 
Au tetemeko la Bukoba, mbona alilikana akasema yeye hakulisababisha! Kwa hiyo naona wanachagua mazuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio nyie mnaosema tunamshukuru mtukufu kwa kutuletea jua lipatwe mbeya,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Napenda CONFIDENCE yake ktk mambo ya nchi...tunahitaji raisi wa namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuongoza watu wenye phd holder anawekwa mtu anayejua kusoma na kuandika tu, tangu aseme hivyo sitaki kabisa kukanyaga huo mkoa nisiwe mojawapo wa kuongozwa na kilaza

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
1. Kiuzalendo.....2. Kiuchumi....3....kisiasa......Heshima....na utendaji bora na zaidi sana..4. vita dhidi ya ufisadi na ujambazi wa kutumia kalamu. Go on my president. You have peoples sapport. We can not leave you alone ever.
 
One of the characteristics of the word "truth" is such that it won't stay dark "forever" therefore one day we will what are his true colors then we will know what kind of a person he is, hopeful isiwe tumepigwa "changa la macho"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…