Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hizi thread za misifa naona zimetamalaki mtandaoni vip kampeni ya baki ............. Ilikwama nini? Kwa ivo mmeamua kuhamishia mitamdaoni !! Hahahaaaaa aaaaaaa kaaazi mnayo wajunga wachache.
 
Nidhamu imerudi kwa kiwango kikubwa hasa kwa watumishi wa umma,hakuna tena hata ule usemi unajua Mimi Ni nani?.....huduma Ni kwa wakati tofauti na kipindi cha nyuma!
Huwa nawashangaa sana wajinga nyie mnao lishana maneno ya kijinga, nidham gani hiyo iliyo rudi?? Msiwe wanafiki mtalemaa kiakili.
 
Reactions: PNC
Anajenga Reli ya Umeme anajua umeme tulionao hautoshi hivyo tayari tenda ya kuongeza zaidi za 2000 MW imeshatangazwa, kwetu Rufiji karibia tutazalisha Umeme, anataka kujenga Kiwanda cha kuyeyushia Chuma anajua Umeme uliopo hautoshi na ndiyo maana Rufiji tutatoa Umeme, kama ulikuwa haujui maana ya high IQ sasa umeijua, Problem solving nina uhakika baada ya muda wake kuisha kuna matatizo tutakuwa tumeyatatua forever na kuangalia mengine, ...
 
Mkuu hali ya maisha huku mtaani inatisha, maisha ni magumu sana yaani tunaishi kwa kuokoteza kama kunguru
 
Mkuu hali ya maisha huku mtaani inatisha, maisha ni magumu sana yaani tunaishi kwa kuokoteza kama kunguru


Maisha ni lazima yawe magumu, ulitegemea yawe rahisi? Hama hii Dunia na kwenda Sayari nyingine labda huko laws of nature ziko kivingine!
 
Huu umbea umbea tu, we got so much to do
 
Huwa mnapenda kutukanwa asubuh asubuh...!??
 
kuna kitu alichofanya akafanikiwa, hebu toa records, hilo barabara ya moroco tu ambayo pesa za uhuru zilienda kule, nimepita juzi ni lami lakini kama unapita kwenye mabondebonde, tuambie ni lipi alilofanikiwa zaidi ya kututia hasara na kodi zetu
 
Mh Rais tuliyenaye kwa sasa anafanya vizuri sana .kuna uvundo wa nyuma ambao umefanywa na watendaji wetu ni mbaya sana.Rasilimari zetu zimeporwa sana lakini Rais ameonyesha mwanga sasa kila kitu kinawekwa wazi.
HONGERA MH:RAIS MAGUFULI.
MUNGU akulinde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo upinzani ulishayasema siku nyingi!ccm ni ile ile chenge haguswi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…