Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

NI MPANGO WA MUNGU,HAKUPANGWA NA KAMA ANGEPANGWA TUNGEENDELEA KUIBIWA MALI ZA UMMA
 
Imegundulika kuwa wapo watu sas ambao ni wasaliti wa taifa lao kwa dhati wamedhamiria kusaliti taifa lao kwa masilai ya matumbo yao.
Nivema tukajuwa nakuelewa yakuwa usaliti kwa taifa lako ni sawa na uhaini na adhabu ya uhaini ni kifo ama kifungo cha maisha.
Mh Rais amedhamiria kufanyakweli nakuleta usawa kwa taifa lake sasa wale wanasaliti taifa lao niwakati muwafaka kujuwa they must end it now.

Mkono wa sheria utawakamata nakuwaweka ndani
Tumechoka na wahaini wa taifa letu
Shime Magufuli.
 
mkuu mnona unaonekana una kasi sana?? una tupa wasiwasi wenzio maana tangu kuripotiwa tukio la lissu upo bize sana huku una tutuisha wenzio?
 


Sema mkono wa SMG!
 
Alie kupa nafasi hii aliwaonea huruma Sana Watanzania.
Naamini una ndoto zako na malengo yako kama kiongozi kuacha legacy njema.
Nchi Sasa inaanza kutoka mguu upande na kukaa mguu Sawa taratibu.
Uko serious na nafasi uliopewa!

Ambition yako ni njema Sana, kuna wachuuzi wachache ambao wanatumia media kuhahakikisha una fail.
Hawatashinda vita hii takatifu ya kuinyakua nchi toka mikononi mwa wahuni wachache, iwe na manufaa ya Sisi sote.
Kaza Magu, wameanza kujinyea, na bado, mpaka waseme tumekoma kufuja mali za Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwema huonekana kwa matendo na maneno. Sidhani wananchi wa Kagera, Kimara, wahitimu wa vyuo, n.k wana mtazamo kama wako.
 
Kweli nchi imeanza kunyooka kuelekea Kaanani. Saa saba mchana mbunge anamiminiwa risasi 32 pembeni ya nyumba ya naibu spika. Hii hatukuzoea Tanzania sasa mstari ndio umechorwa. Pamba moto awamu ya tano
 
Safari ni ndefu na miaka iliyobaki Katika hiyo safari ni miaka saba mpaka Sasa Kuna wachache wamekubali kubadilika lakini Kuna wengine naona bado akili zao bado zina kumbuka raha za Misri.

Hawajui kuwa tuko safarini na njiani Kuna mambo mengi sana Sasa usipokuwa makini utazikwa njiani.

Haipo tune akili yako ktk mabadiliko utapata shida sana ktk hii safari ambayo Inahitaji sana kufuata taratibu za safari zilizowekwa kisheria.

Safari ni safari tu tutafika tu.
 
Mwisho wa safari, kuelekea Nchi ya ahadi, Bado ni Vita (kaa la Moto) mpaka leo hii.....!!

Na ajabu, watu kutoka nchi ya ahadi, walipatwa/walipandwa na Jazba, na Kumsulubu kiongozi pendwa (mtoto wa Maria).

Mungu atupe Moyo wa Subira na Uvumilivu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…