Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nchi iko vitani, tena vita ya kiuchumi chini ya kamanda mzalendo na mwadilifu John Pombe Magufuli. Waadilifu na wazalendo wenzake tuko nyuma yake kumsurpport. Tutapigana kikakamavu na kwa uhodari tuishinde vita hii. Wasaliti wote nadhani mnajua kanuni ya vita
 
Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Tarehe 09.11.2015 uliposti uharo wako huo. Unajisikiaje unapoona JPM akichanja mbuga huku ramli zako chonganishi zikishindwa kwa Jina la Yesu
 
Tarehe 09.11.2015 uliposti uharo wako huo. Unajisikiaje unapoona JPM akichanja mbuga huku ramli zako chonganishi zikishindwa kwa Jina la Yesu
Anachanja mbuga kwa kuturudisha nyuma kimaendeleo, wahed mkubwa!!! Shubamiiiit
 
Watanzania wenzangu Licha ya Mh. Rais wangu mpendwa JPM kunitumbua leo naomba niwathibitishia kwamba sitaacha kumpena na kumuunga mkono katika utendaji wake wa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana jamvi sina la ziada zaidi ya kumpongeza Mh rais wetu JOHN POMBE MAGUFULI kwa kurudisha heshima nchini.
Kuanzia wafanyakazi wa serikalini wanawajibika ipasavyo na kufika maofisini kwao muda muafaka.TAKUKURU IMEKUA MOTO WAKUOTEA MBALI..JESHI LA POLISI wapo kisawasawa..sio kama wakati ule ukiwapigia simu kuwapa taarifa ya tukio watakujibu Gari haina Mafuta..TANESCO neno MGAO tumelisahau
Kwa upande wetu sisi walala hoi tulikua tukidhalilika saana kwa wenye uwezo wao.!!lkn kwasasa hilo halipo hakuna cha maskini wala tajiri wote tunaheshimiana
 
Hivi hiyo November 09, 2015 si ilikuwa siku moja tu tangu aapishwe?! Yaani watu wana viroja! Yaani within 24 tayari mtu anapongeza kwa kasi ya rais.
 
Back
Top Bottom