Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Mmejipanga lumumba. Bahati mbaya umafia wenu unaongea kuliko utetezi wenu. Poleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeingia bleed ya mdomo wanawake wenzako wanaingia chini wewe umeingia ya mdomo sijui ped unawekajeUkweli utaendelea kusemwa kwani ni lazima usemwe.
Mazuri lazima tuyaseme na kuyaweka kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Ni ukweli usiopingika kuwa hadi sasa hakuna mtanzania aliyefikia rekodi ya Rais Magufuli katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya miundombinu nchini na pengine East Africa.
Magufuli anaingia kwenye rekodi za kidunia katika kubadili muonekano wa nchi kwa muktadha wa miundombinu.
Kasimamia kodi zetu vizurialikuwa anatoa hela zake mfukoni?
Jibu murua kabisa!Naona umeingia bleed ya mdomo wanawake wenzako wanaingia chini wewe umeingia ya mdomo sijui ped unawekaje
Wewe una kitu kinaitwa verbal dysentryNaona umeingia bleed ya mdomo wanawake wenzako wanaingia chini wewe umeingia ya mdomo sijui ped unawekaje
Hivi unajua mpaka mwaka 2015,wizara yake ilikuwa inadaiwa trillion 1.4,kati ya Hizo ni bil 500 tu ndio zilikuwa gharama halisi za miradi, nyingne billion 900 zilizobaki ni faini za kuchelewa kulipa madeni ya miradi pamoja na kuvunja mikataba hovyo!Kasimamia kodi zetu vizuri
Tokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.
Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.
Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.
Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .
Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.
MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.
Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.
Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .
In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.
Viva Jpm