Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Umeandika uharo mtupu!! Huo muda wa kuandika ni bora ungeutumia kujamba ili upunguze gesi kwenye tumbo lako!!!!

Kajifunze kuandika kwanza na pia mfanye mtawala daima wa nyumba yako, wewe na mkeo!!
 
Tokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.

Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.

Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.

Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .

Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.

MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.

Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.

Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .

In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.

Viva Jpm
Itakua unaliwa kiboga ewe kjana wa lumumba, acha njaa
 
hata hiyo mitano ni kama karne hana raha wala amani. Ana hofu sana sasa hawezi kuwa na afya. Matukio anayoyafanya na kufanyiwa sidhani kama ana hamu na uraisi. Hakupangwa kajipanga sasa kakosea mstari kajipanga mstari wa wanawake. Subiri utaona wanaoijua ikulu wanakudharau kwa post yako.
 
Sina shaka na hoja yako hakika, walikupa dawa na wakakuruhusu uondoke?. Hao madaktari wafuatiliwe kwa karibu, maana unaweza kuua huko mtaani kwa huo ukichaa wako.
Na ndugu zako wakuwekee uangalizi wa karibu ikibidi wakufunge kamba.
 
Tokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.

Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.

Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.

Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .

Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.

MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.

Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.

Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .

In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.

Viva Jpm
Sema kama uki end hospitality itakua noma sana..[HASHTAG]#TafitiZaTwaweza[/HASHTAG]
 
Hawa ndo wanalipwa kuuliza maswali na kumsimamisha mkuu.
 
Mtoa post utakua ni mwanakijiji wa kolomije ndani ndani kabisa boya weee[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Sema kama uki end hospitality itakua noma sana..[HASHTAG]#TafitiZaTwaweza[/HASHTAG]
Ila lengo limefika hapa hatupo shule.
Ila asante mwalimu naona Upo making sana so Hata watoto wetu naona unawakagua notisi zao.
Lazima ujikite utafute makosa ya kisarufi umrekebishe.

Kumbe walimu wapo makini chini ya jpm.
Hapa hatupo darasani tena somo wenyewe Lowe kiswahili mana ingekuwa maths ,physics or chemistry hakuna lugha hapo ni logic tu.
Nyie ndio mlikuwa mnatuogopesha kuwa tutafeli kisa Mwandiko.

By the way thank you sir.ntamleta mwanangu apitie mikononi mwako
 
[HASHTAG]#TwawezaTafiti[/HASHTAG]
 
Habari za wazalendo wote walio ndani na nje ya Tanzania,

Lengo la uzi huu ni kumpongeza magufuli tu kwa mazuri anayofanya,

Mchangiaji kama umeguswa na Jambo lolote ambalo kafanya liandike na utoe pongezi,

Tunajua Ana mabaya yake, lakin we waweza ona ni baya mwingine akaona ni zuri,

Kwanza kama umependa uzi huu "like" then comment,

Tujikumbushe kidogo kulaumiwa kwa viongozi ni Jambo la kawaida hasa kwa watanzania wanafiki hasa wa kwenye mitandao,

Naanza kwa kuwasihi magufuli na serikali yake pia na ndugai na bunge lake ,hata waliopita walisemwa sana , lakin cha kushangaza mda huu wanashangiliwa,

Hizi comments chini ni za mwaka 2008
Pitia uone walivyomnanga kikwete na Samweli sitta, Leo hii wanajifanya kuwakumbuka

Walianza kufanya biashara Ikulu kama vile ni mradi wa Kuku, wakagawiana fedha za BoT kama vile wanagawana njugu, sasa wamefikia mahali kuwa Spika hamuamini Naibu wake, na haamini kuwa Bunge linaweza kufanya shughuli zake pasipo yeye. Kwa mtetezi wa lugha nzuri Bungeni, Spika Sitta amemdhalilisha sana na kumshushia heshima Naibu wake kwa kumuona kuwa hana uwezo wa kuamua nini jambo la muhimu na ni nini kinaweza kujadiliwa. Kwa kusema Naibu Supika asije "kukurupuka" Mzee Sitta hana budi kuliomba radhi Bunge kwa matumizi ya lugha ya kibabe, kizandiki na yenye mlengo wa unyanyasaji wa kijinsia.

Na sipendi Spika ajifanya ana Bunge mfukoni. Ni wazi kuwa suala la Richmond na BoT siyo suala muhimu sana kwa Taifa ukilinganisha na ziara yake ya "kuliwezesha Bunge". Kwani kama masuala hayo yangekuwa muhimu angebadilishana nafasi ya kumpa Bi. Makinda ziara na yeye (kama alivyosema mtu mwingine hapa) abakie kusimamia mambo haya.

But then, akifanya hivyo atakiumbua chama chake na utii wake ni kwa CCM.

Weka comment yako juu ya magufuli unampongeza kwa lipi na u like thread,

Kwa upande wangu nampongeza kwa haya,

1. Kurudisha heshima kwa umma hasa watumishi
2. Ununuzi wa ndege mpya
3. Ujenzi wa miundombinu mbali mbali nchini (DSM based)
4. Kupunguza rushwa ,si kama nyuma
5. Elimu bila malipo kwa secondary hadi kidato cha sita,.
6. Uhuru wa vyombo vya habari mpaka sasa tupo tunamchambua
7. Kuzuia rasili Mali zetu zisiibiwe,

Kwakweli kafanya mengi,

Mods naomba uzi huu msiuondoe wala kuunganisha maana maudhuhi yake ni kusifu tu, si kama nyuzi Nyingine
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Tnunampngeza kwa jinsi alivyowanyamazisha Ben Saanane na Tindu Lissu ili kuimarisha utawala wake
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
 
Back
Top Bottom