Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

wewe umetoka kuzimu, au utakuwa ni ng'ombe wewe.
 

Ulienda hospital gani ya serikali ukatoa buku nne ukapata dawa lukuki,,,,,labda kama dawa za H.I.V sawa, maana izo ni bure, ,iyo buku nne umetumia kama nauli
 
Wewe unatakiwa ukamatwe na vyombo vya dola na ukafunguliwe mashtaka ya UCHOCHEZI. Ntashangaa jeshi la polisi likiacha kukutafuta
 
hahaha hospitalilty

ila kumbuka tu ata aongoze malaika lazima katiba na sheria zifuatwe
 
Hilo halihalalishi kuchezea KATIBA yetu kama wanavyofanya Rwanda,Uganda,DRC nk nk,tatizo lako wewe ni hali duni ya maisha uliyonayo hivyo fanya kazi kwa bidii uboreshe na kuongeza kipato chako na cha familia yako hili ukome kupenda vitu vizuri kwa gharama nafuuu!!
 
Sawa ombi lako limesikika, lakini sidhani kama litaafikiwa mkuu.
Pia, pole sana kwa kuumwa naona hali si nzuri sana maana hizo dawa ulizopewa unadai ni nyingi
 
Mto mada unasikitisha sana. Upeo wako wa kutambua mbo ni mdogo sana. Unataka kutuambia Watanzania wote kwamba katika Watanzania zaidi ya milioni hamsini haiwezekani akatokea mtu akawa rais bora hata kuliko Magufuli?
 
Atawale au aongoze? Kweli mmenogewa vibaya mpaka mnajisahau kabisa.
 
Mkuu hospitali gani hiyo nami nimpeleke ndugu yangu akapate tiba kwa bei nafuu..
 
Hongera kwa kuanza matibabu ya cerebral malaria. Dalili za kupona huwa mgonjwa anapoteza ufahamu kwanza
 
Naikubali sana kazi anyaofanya ,,,
Nampa bigup kwakweli.

Sikubaliani na wazo lako la kutawala milele,,,, tumempata yeye ni kwasababu tulipuuzia mawazo kama yako.

.kwahiyo upuuzwe wewe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…