ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Itakua unaliwa kiboga ewe kjana wa lumumba, acha njaaTokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.
Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.
Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.
Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .
Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.
MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.
Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.
Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .
In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.
Viva Jpm
Sema kama uki end hospitality itakua noma sana..[HASHTAG]#TafitiZaTwaweza[/HASHTAG]Tokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.
Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.
Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.
Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .
Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.
MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.
Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.
Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .
In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.
Viva Jpm
Ila lengo limefika hapa hatupo shule.Sema kama uki end hospitality itakua noma sana..[HASHTAG]#TafitiZaTwaweza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TwawezaTafiti[/HASHTAG]Ila lengo limefika hapa hatupo shule.
Ila asante mwalimu naona Upo making sana so Hata watoto wetu naona unawakagua notisi zao.
Lazima ujikite utafute makosa ya kisarufi umrekebishe.
Kumbe walimu wapo makini chini ya jpm.
Hapa hatupo darasani tena somo wenyewe Lowe kiswahili mana ingekuwa maths ,physics or chemistry hakuna lugha hapo ni logic tu.
Nyie ndio mlikuwa mnatuogopesha kuwa tutafeli kisa Mwandiko.
By the way thank you sir.ntamleta mwanangu apitie mikononi mwako
Walianza kufanya biashara Ikulu kama vile ni mradi wa Kuku, wakagawiana fedha za BoT kama vile wanagawana njugu, sasa wamefikia mahali kuwa Spika hamuamini Naibu wake, na haamini kuwa Bunge linaweza kufanya shughuli zake pasipo yeye. Kwa mtetezi wa lugha nzuri Bungeni, Spika Sitta amemdhalilisha sana na kumshushia heshima Naibu wake kwa kumuona kuwa hana uwezo wa kuamua nini jambo la muhimu na ni nini kinaweza kujadiliwa. Kwa kusema Naibu Supika asije "kukurupuka" Mzee Sitta hana budi kuliomba radhi Bunge kwa matumizi ya lugha ya kibabe, kizandiki na yenye mlengo wa unyanyasaji wa kijinsia.
Na sipendi Spika ajifanya ana Bunge mfukoni. Ni wazi kuwa suala la Richmond na BoT siyo suala muhimu sana kwa Taifa ukilinganisha na ziara yake ya "kuliwezesha Bunge". Kwani kama masuala hayo yangekuwa muhimu angebadilishana nafasi ya kumpa Bi. Makinda ziara na yeye (kama alivyosema mtu mwingine hapa) abakie kusimamia mambo haya.
But then, akifanya hivyo atakiumbua chama chake na utii wake ni kwa CCM.
Tnunampngeza kwa jinsi alivyowanyamazisha Ben Saanane na Tindu Lissu ili kuimarisha utawala wakeBinafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Safi umemjibu vizuri huyo mlumumba wengine tungemjibu tungeambiwa tuna gubuUmeshapewa buku saba Lumumba!sasa umekuja kudanganya uma?acha kupotosha watanzania.mjinga we!tafuta shughuli ya kufanya!